Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiachana na asilimia 98 ya kupikwa idadi ya waliopiga kura ni wachache sana ukilinganisha na waliogoma kupiga kura. Ni kweli wananchi wengi walikubaliana na hoja ya chadema kwamba kupiga kura ni...
5 Reactions
12 Replies
450 Views
Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi...
30 Reactions
64 Replies
3K Views
Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._ Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa...
0 Reactions
9 Replies
467 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje...
6 Reactions
4 Replies
475 Views
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
4 Reactions
18 Replies
814 Views
Huyo bwana anaye jiita sheikh rusaganya mara nyingi amaekuwa na kauli za wazi za kichochezi wa kidini na ni zawazi kabisa ambazo isinge kuwa busara na hekima za wakristo basi huenda pangeanza...
1 Reactions
4 Replies
223 Views
"Serikali kushindwa kutimiza baadhi ya ahadi wanazoziahidi kwa wananchi yatajwa kuwa huenda ikawa ni moja ya sababu iliyopelekea wananchi kuandamana siku ya Oktoba 29" na Tatizo serikali...
2 Reactions
3 Replies
294 Views
Kwa kilotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa raisi na wabnge nchini Tanzania, Tasnia ya habari imezidi kujikuta ikigubikwa na ujinga, ukosefu wa maadili, uhaini na kutokujielewa...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi. Inadaiwa aliposhindwa kulinda...
11 Reactions
7 Replies
547 Views
1. Uanachama wa Tanzania katika ICC Ni kweli kwamba Tanzania ni mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), kwa kuwa ilisaini na kuridhia Mkataba wa Roma (Rome Statute) mwaka 2002...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo...
0 Reactions
29 Replies
696 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, amelaani vikali vifo vya wananchi waliouawa kwa risasi wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini, akisema kuwa hakuna...
2 Reactions
3 Replies
299 Views
Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa, Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri...
5 Reactions
24 Replies
777 Views
Akizungumza na Wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema inapaswa kutolewa fidia kwa watu walipoteza wapendwa wao kutokana na kuwawa katika maandamano, lakini waliopata...
1 Reactions
2 Replies
234 Views
Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo...
1 Reactions
3 Replies
223 Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa...
3 Reactions
5 Replies
240 Views
Heche na Genge lako ,mko kwenye Kikaango!!. Sikilizeni Wananchi na Wanachama wenu. Taifa Lina Msiba mzigo sana, tunazika Kila siku, mbaya zaidi Ndugu zetu wengine Miili yao Imeteketezwa. Aiseee...
10 Reactions
29 Replies
791 Views
Back
Top Bottom