Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi. Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika. Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta Kumbuka wamiliki wa sheli ndio...
19 Reactions
47 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewasihi wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaotaka katika uchaguzi mkuu. Makonda...
2 Reactions
22 Replies
939 Views
Kumekuwa na utaratibu wa kila siku ya mechi kubwa dakika chache kabla ya mechi kuanza mnaweka hotuba ya mgombea wa CCM au machawa wake ikiambatana na ahadi kibao ambazo kiuhalisia ni kampeni! Hii...
1 Reactions
20 Replies
835 Views
Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama...
11 Reactions
106 Replies
4K Views
Kitambo sana niliwahi kusema haya:- 2022 to be exact.... https://www.jamiiforums.com/threads/operesheni-piga-chini.2011562/ Lakini come 2025 hakuna cha mgombea Binafsi wala choices za wengi...
2 Reactions
3 Replies
241 Views
Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si...
15 Reactions
78 Replies
3K Views
Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) na UDSM wameendelea kumenyana kuelekea uchaguzi Mkuu. Baada ya UDSM kutoka na tamko linalopinga tamko la UDASA, ambapo pamoja na...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora. Lengo la matembezi hayo ni...
1 Reactions
17 Replies
529 Views
Nchi hii ukidai haki unaitwa Muhuni kisha kuna kikundi kitakwambia wanakushughulikia alafu Mkuu wao anamaliza kwa kusema anaongoza kwa kutumia 4R, hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywinywi...
1 Reactions
12 Replies
464 Views
Katibu kamanda wa CCM kata ya Msasani amelalamika na kuonyesha hasira yake kwa viongozi wake wa ngazi ya juu kutomthani na kumuonyeshea dharau anasema wakishawakusanya watu na kuwahamashisha waje...
3 Reactions
10 Replies
453 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kunje Ngombale Mwiru AAFP ameendelea na kampeni katika Mkoa wa Tabora ndani ya Wilaya ya Nzega. Mgombea Urais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
13 Replies
549 Views
"Watu wengi wanatupigia simu Makongo Juu, Kitunda, Mwanagati, Kivule, Buza kule wanasema mbona nyie doria hamji huku? Tunakwenda. Watu wanatutaka twende. Kwahiyo ukiona mtu anachukia Polisi hajawa...
0 Reactions
20 Replies
613 Views
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa kuwepo kwa...
1 Reactions
3 Replies
200 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye kabla...
1 Reactions
8 Replies
268 Views
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana siku ya uchaguzi kutoa nafasi kwa watu wasiojiweza kama Wazee, walemavu na wajawazito kupiga kura kwanza ili...
1 Reactions
7 Replies
248 Views
Miaka ya Nyuma haya mambo ya kutekwa na kupotea yalikuwa Zanzibar wakati Marais wakiwa Wabara. Hadi sasa kuna wakimbizi wa Zanzibar huko kenye waliokimbia utekaji na Virungu vya Polisi. Kipindi...
10 Reactions
103 Replies
2K Views
Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
5 Reactions
32 Replies
885 Views
Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye...
6 Reactions
116 Replies
3K Views
Kosa mnalotaka kulifanya litawagharimu milele. Kimbilio la mwisho la Wananchi ni Jeshi lao na pale Wanasiasa wanapokengeuka Jeshi huwa ndo linasimama na Wananchi. Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…