Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Tume ya Ushindani jana imetangaza kwamba imeteketeza bidhaa feki. Bidhaa hiyo ni nyembe. Uhaini ni jinai inayohusisha ama kutaka au kumwua kiongozi wa nchi; ama jinai ya kutaka au kupindua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zitto Kabwe,nimeguswa kuanzisha uzi huu ili kukupongeza na kutambua umuhimu wako katika Taifa hili. Hakika wewe ni kati ya vijana wachache ambao ni tunu kwa Taifa hili kwani umekuwa...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
TAARIFA YA MHE. PROF. MAKAME MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO YA MWAKA 2015 KWA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 8 MEI, 2015 Ndugu...
2 Reactions
153 Replies
19K Views
Baada ya jana kufanya mikutano mitatu ktk kata ya songambele na kuzindua msingi mmoja kati ya 150 Ambayo tumepanga kuizindua katika Jimbo hili. Leo ikiwa ni siku ya nne toka...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Sote tunafahamu kuwa taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais. Hii ni hatua muhimu sana kwa wanachi kwasababu ndio uamua mustakabali mzima wa siku za usoni kimaendeleo...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Habari WanaJF wapenda mabadiliko. Namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata kibali cha kuamua ni nani nataka awe kiongozi wangu kwa uchaguzi mkuu ujao baada ya kuchoka na ubabaishaji wa CCM toka...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
“Asema’ elimu bora ndiyo itakayoifikisha nchi mahali pazuri” Tabora. Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema umefika wakati kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nimesikia mikoa mingine wameanza kuandikishwa na vitambulisho vipya vya kupigia kura mwezi disemba mimi nawaza lini watatufikia sie wa tarime kuja kutuandikisha tupige kura, mara nyingine...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Mmarekani ana akili sana Alipoona anamaliza hela na resources kupigana na waarabu akaja na akili mpya Kawagawanya waarabu wapigane wenyewe kwa wenyewe, halafu wakiishamalizana washindwe hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaCHADEMA wa Kibondo-Kigoma wamepinga maamuzi ya UKAWA ya kuwa jimbo hilo limewekwa kwa NCCR-Mageuzi wakati Felix Mkosamali (MP) hakubaliki hata kidogo. Katika serikali za mitaa CHADEMA ndio...
2 Reactions
61 Replies
9K Views
Kwa hapa tulipofika tunahitaji raisi mwenye afya njema na mwenye uwezo wq kukaa ofisini masaa 24 . Raisi mtembezi kutwa anashinda nje ya nchi , kutwa yeye yupo airport kufuatilia ratiba za...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna daftari(counter book) aina ya "scholar" za rangi nyeusi na za 2 Quire na kurasa 192, zinauzwa madukani na kwenye stationary mbali mbali mitaani zina ramani ya Tanzania kwa nyuma...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Kabwe Zitto ameahidi chama chake kuendesha shughuli zake kwa uwazi, ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku viongozi kufanya biashara na chama hicho, jambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila yanapotokea au linapotokea jambo lolote ambalo lina uzito katika taifa hili Raisi anasafiri ni kwanini anaogopa maamuzi magumu au kila kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake? Mbona kwenye...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
NEWS By COSTANTINE MUGANYIZI, TEA Special Correspondent Posted Saturday, May 9 2015 at 14:33 IN SUMMARY Budget support to Tanzania by donors is growing thinner after the UK, Norway and...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nanukuu katika mojawapo ya hotuba za Baba wa taifa kuwa; Ikulu ni mahala Patakatifu. Nadhani Baba wa taifa kama mwanadamu yeyote alivyo na mapungufu hapa alikosea sikubaliani nae. Ikulu ndiko...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
viongozi wa vyama vya upinzani njombe wamekiri kuwa ccm katika mikoa ya kusini itashinda kwa kishindo kikuu dhidi ya vyama vinavyounda ukawa kwa sababu kimeleta maendeleo na kimekuwa karibu sana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Makadirio ya kuandikisha wapiga kura yanaonesha si rahisi uchaguzi mkuu kufanyika Octoba 2015 (rejea posting hii...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi lipinga hili la watanzania kuhitaji mabadiliko ya kuiondoa CCM madarakani kutokana na hali halisi tulio nayo watanzania hasa wale wa hali...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Back
Top Bottom