Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
4 Reactions
52 Replies
2K Views
19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya...
0 Reactions
3 Replies
612 Views
Wakuu, Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Uandikishaji wa Wapiga Kura Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331...
2 Reactions
137 Replies
9K Views
Wakuu, Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na...
2 Reactions
3 Replies
495 Views
Wakuu, Inadaiwa kuwa Jeshi la Polisi mkoani Katavi kupitia kwa Mkuu wa Upelelezi mkoani humo limemuita kwa mahojiano Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Katavi Rhoda leo, Jumamosi Novemba 30.2024...
0 Reactions
7 Replies
940 Views
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake. Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu, Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa; "Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa. Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho? Kwanini...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa. Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Nawaza tu Uchaguzi huu CCM atapata 95% CDM itapata 2% CUF itapata 1% ACT itapata 2% Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia. Sababu za kushindwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika...
28 Reactions
233 Replies
12K Views
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri...
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, Uzi huu ni maalum kwaajili ya maoni ya Waangalizi wa Uchaguzi pamoja ma Wananchi juu mwenendo mzima wa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya Matokeo kutangazwa. Kupata taarifa...
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Wakuu, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimeibuka na ushindi wa asilimia 99.7 katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa kuwachagua wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji na wajumbe. Katibu...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za...
1 Reactions
6 Replies
569 Views
Back
Top Bottom