Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Steve Nyerere amvaa Mwanasheria wa Kenya aliyekuja Tanzania kumtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini.
1 Reactions
0 Replies
373 Views
INEC imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu Mkurugenzi wa INEC Tanzania Bw. Ramadhani Kailima Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita...
1 Reactions
7 Replies
588 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani...
14 Reactions
186 Replies
11K Views
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko...
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Ismail Jussa Ladhu wamefanya ziara ya ujenzi wa Chama eneo la kisiwa...
2 Reactions
0 Replies
285 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa hii hapa. Nitakuwepo kwenye Mkutano huo ili kuwaletea kila kitakachosemwa na Viongozi. Usibanduke JF.
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Katibu Mwenezi wa CCM Amos Makalla amshangaa John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kuita watu waende mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu asema "Hizo ni Harakati...
0 Reactions
3 Replies
350 Views
"2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano...
0 Reactions
4 Replies
385 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda amani iliyopo nchini kwani Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine. Katibu wa...
0 Reactions
7 Replies
562 Views
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia chama hicho, Bi. Martha Raphael Chiomba, ametangaza rasmi kujiondoa...
1 Reactions
3 Replies
604 Views
Watendaji wa vituo wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora katika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakitoa tamko la kujitoa uanachama wa chama cha siasa au kutokuwa...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Nabii Rolinga, kupitia mahubiri yake aliyoyatoa ameeleza kuwa Watanzania hawafurahishwi na yanayoendelea nchini, umwagaji wa damu, watu kukamatwa na kufungwa nk bila kujali nani ana haki nani...
2 Reactions
3 Replies
383 Views
Aliyosema Mnyika: Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi. Hawakujitambulisha kama polisi. Walikuwa na bunduki...
12 Reactions
156 Replies
11K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka watumishi wa umma wa mkoa huo kuwasilisha nakala za vitambulisho vyao vya kupigia kura mara zoezi la uhakiki litakapoanza...
0 Reactions
7 Replies
542 Views
Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano" Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba...
27 Reactions
162 Replies
9K Views
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho iwapo hali ya uchumi itaruhusu. Hayo yamesema na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
3 Reactions
7 Replies
801 Views
Nilimuuliza moja ya Shabiki wa CCM, kama njia inayotumika kwa sasa na Chadema kudai reform na haki inaitwa ni njia ya kuvuruga amani, je ni njia gani nyingine Chadema iitumie kudai reform na haki...
6 Reactions
16 Replies
972 Views
Back
Top Bottom