je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi.
Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi...
Wakuu, habari za Jumapili!
Tumepata video na picha zinazohusishwa na akaunti ya TikTok, ambazo zinaashiria kwa asilimia kubwa kuwa mtu aliyehusika na mauaji.
Katika picha tatu zilizopatikana...
Kuanzishwa kwa Wizara mpya ya Vijana kunalenga kuimarisha mchango wa vijana katika maendeleo ya Taifa kupitia uwezeshaji, ajira, afya, teknolojia na ushiriki katika uongozi. Hapa chini ni muundo...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani.
Sijashangaa sana kwani...
Haya mambo ya kusema "Waliandama kwa mkumbo" wala hayana mantiki yoyote kwa sasa. Kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu ulipaswa kudili na hao "Waleta Mkumbo" kwa wananchi wako kabla hayajatokea...
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani...
Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT.
Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia...
Kuona ile video hapana aisee imeniumiza sana na nikapiga picha wabunge walivyokuwa bungeni wanacheka na kupiga selfie aisee hapana aisee
Nimeangalia video nyingi ila hii ya mortuary ya...
Habari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya...
Hapana kwa kweli, Hapana
Roho yangu inaumia, nimekufa ganzi ya mtima. Kila siku video na picha zinakuja, wananchi wanashare unyama na udhalimu uliokithiri waliofanyiwa na majeshi nchini...
Hii ni moja ya video inayomuonesha mtu alivaa kanzu akikatiza eneo la Jeshi la Polisi bila kuingiliwa na askari yoyote. Je, unadhani hii inaweza kuwa mbinu nzuri zaidi ya kuvaa kanzu, au je, kunza...
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Manyema na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hamid Masoud Jongo, amesema kuwa dhiki ya maisha haimaliziki kwa kuandamana, kuchoma sheli za watu wala kupora...
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto...
Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope...
Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza...
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la...
Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya...
Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia...
Ni majira ya saa tisa usiku. Dunia imelala, lakini macho yangu yamekataa mapumziko. Usingizi umetoweka kama kivuli kinachokimbia mwanga. Ghafla, sauti isiyo na uso inanong’ona ndani ya kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.