Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametoa ratiba mpya ya ziara ya kampeni ya No reforms No election ambapo amesema licha ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu...
4 Reactions
6 Replies
964 Views
"Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika. Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania. Swalle ametoa...
0 Reactions
4 Replies
434 Views
"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti...
5 Reactions
15 Replies
992 Views
Sehemu ya Hotuba ya Geofrey Kiliba Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini katika ziara yake mkoani Iringa. Kiliba anaendelea kuwatembelea wanavyuo katika mikoa mbalimbali...
1 Reactions
6 Replies
527 Views
Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka...
1 Reactions
16 Replies
976 Views
Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
"Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati...
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Mwenyekiti wa AAFP, Said Soud akiongea na SAUT DIGITAL amesema ni vigumu mtu akikuajiri halafu ukamkataa, ataka tume huru yenye kuweka usawa ili kufanya uchaguzi uaminike kwa wananchi wote na kuwa...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
“DP tutashiriki uchaguzi na sasa tumeshatoa kalenda na tutakuwa na Mkutano Mkuu wetu tarehe 10/6/2025 na tutaufanya Morogoro. Maana hata Mkutano Mkuu wa uchaguzi mwaka juzi tuliufanya Mogororo,”...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi hachoki wala kupumzika kulipambania Jimbo lake ambapo anafanya ziara kila kukicha na Bungeni anapambana kutafuta maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
399 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa jukumu la viongozi wa dini kukemea maovu katika jamii, likiwemo wizi wa kura na ukiukwaji wa...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
0 Reactions
6 Replies
385 Views
Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi. Soma Pia: Jeshi la Polisi...
16 Reactions
164 Replies
10K Views
Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya...
0 Reactions
6 Replies
393 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa, Jessica Mshama, ametoa onyo na wito mzito kwa Watu wote wanaonuia kuwatumia Vijana kufanya vurugu na kuwadanganya Vijana wasitimize...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Back
Top Bottom