Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu.
Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa...
1. Saddam Hussein vs. Gaddafi vs. Tanzania’s President
FactorSaddam HusseinMuammar GaddafiSamia Suluhu Hassan (Tanzania)
Country SituationIraq invaded by U.S./coalition; regime overthrownLibya...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika...
Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi.
Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025...
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo...
Wakuu
Hii issue ishakuwa serious
--------------------------
Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga...
Viongozi wa Afrika mtindiko wao wa ubongo ni ule ule wa madaraka ya kulevya,
Kaguka kipindi iko anaongea kwanini tuuane kuhusu madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda fupi na wakati...
Ila kutiki! 😀😀😀😁
Asubuhi ya October 29 nimeamka zangu nikawa na kiherehere mwenzenu, nikakimbilia kituo cha kupigia kura!
Wakati huo basi mambo shwari, nikawa najibaraguza pale napiga stori na...
Nimeona baadhi ya watu hapa JF na huko duniani wakiwa wanatetea kitendo cha watu kupigwa risasi na kuuuliwa na polisi wakati wa maandamano
Hao watu talking points zao ni kwamba waandamanaji...
"Serikali kwanza lazima ipunguze matumizi yasiyokuwa na lazima, vikao vya watumishi wa umma vya serikali sio lazima vifanyike kwenye kumbi binafsi au Hotel binafsi, tunaweza kutumia kumbi za...
Wakuu,
Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala...
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko...
Kikundi hiki hakina silaha yoyote wala mafunzo yoyote ya kijeshi wala hakizidi watu 10 ni kikundi cha wanasiasa kimelibadilisha jeshi kuwa waasi wa nchi, kimelitia JWTZ mfukoni hii inahatarisha...
Jioni ya Leo Nairobi Nchini Kenya ,
Maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi...
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa...
Hizi ni ngiriba kinyeo upakwa mafuta ya senene Ili kesho yanukie pakuche😆😀😂🤣 napendanga kucheka mie.
Je MWIGULU Nchemba jitu liliro ISHI umasikinini, ulishindwaje kumtembelea faza kitima akiwa...
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.
"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa...
Wakuu,
Aminini kuwa Kuna members wanaugua ugonjwa wa akili kiasi cha kutetea huu uchafuzi uliofanyika October 29.
Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi...