Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025...
1 Reactions
0 Replies
283 Views
Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo...
4 Reactions
225 Replies
8K Views
“Kwa masikitiko sana wako watu wanaozunguka huko mataani kuwadanganya Watanzania na wanawaambia kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi, kimsingi Naibu Spika ukiangalia mabadiliko wanayoyasema ni...
0 Reactions
9 Replies
668 Views
mimi sio mwanasheria lakini naamini mojawapo ya mabadiliko yaliyofanyika ni pamoja na kuibadili tume kutoka TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA KUWA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI. Katika jaribio la...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi...
17 Reactions
82 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi. Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata...
2 Reactions
16 Replies
732 Views
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
17 Reactions
38 Replies
3K Views
Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais...
0 Reactions
7 Replies
713 Views
Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wafanyakazi wanafurahishwa na maboresho wanayofanyiwa na Serikali ya awamu ya sita. Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Moshi. Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata...
0 Reactions
7 Replies
519 Views
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke”...
2 Reactions
97 Replies
3K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema...
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Hii ndio kauli ya Tumaini Nyamuhokya rais wa Tucta kama alivyonukuliwa na gazeti la mwananchi la leo. Sasa sijajua kama huu ndio mtazamo na msimamo wa wafanya kazi wote au ndio uchawa katika ubora...
18 Reactions
143 Replies
7K Views
Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA. YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA. Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom