Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

NGUVU NA CHANGAMOTO YA CCM NA CHADEMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, OCTOBA, 2015. Na: Simon Ngusa Jilala 15/8/2015. (9:10 A.M) Utangulizi. Mada yangu hii itakuwa ndefu kidogo, lakini nina uhakika...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
https://youtu.be/HY_HCisbzGY Wengi wameuliza imekuwaje Mwanakijiji hajaamua kuunga mkono treni hili lililoondoka stesheni? Imekuwaje sikudandia wimbo wa "mabadiliko-Lowassa". Inawezekana labda...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, Imani yangu dhidi ya EL kwamba ndiye anayefaa kuwa Rais wa JMT inazidi kuongezeka. Lakini pia nina imani kubwa EDWARD NGOYAI LOWASSA ndiye atashinda Urais 2015. Maskini tuungane Oct 25...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Halafu eti uniambie kwamba CCM ndiyo mabingwa wa kubaki madarakani wawafundisha watu kama chama tawala cha Canada. Eti CCM kije kiwafundishe wa-Canada kuiba kura kwa sababu CCM ni maprofesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei . Ngojea uone after...
3 Reactions
76 Replies
11K Views
Taarifa zilizopo hapa ndanda ni kuwa baada ya sintofahamu ya jana, kufuatia wagombea, makada na wafuasi wa chama tawala kusambaza uvumi kuwa mgombea wa jimbo hilo DAVID C. MWAMBE Amekatwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sotu tunakumbukumbu ni kwa namna gani watanzania wenzetu walipoteza maisha yao katika mkutano wa kisiasa kwenye uwanja wa soweto Arusha ulioandaliwa na Chadema. Mara baada ya tukio hilo la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
By Eng.Livingstone : MWENZANGU NA WEWE NI MWANACHAMA WA CCM? Taarifa zinasambaa, kwamba msanii nguli wa muziki wa bongo fleva, Diamond, amelipwa Tsh. 1.3 bilioni kwa ajili ya kufanya kampeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mgomo pekee utakaozaa matunda tunayoyataka sisi wafanyakazi Na chuuma 06:54 Today Najua wengi watakimbilia maneno na vijineno bila kutafakari. Lengo langu si kushawishi watu wagome kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh. Wilfred M. Lwakatare, mgombea ubunge (CDM) Bukoba Mjini, ana uhakika wa kuchukua jimbo kwa zaidi ya 70%. Kutokana na tathmini niliyoifanya, vijana wengi sana wanamuunga mkono huku wakioneshwa...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Wapo watakaoniunga mkono na wapo watakaosema ukabila ILA lazima ukweli nitasema.Tangu hawa jamaa wawe wabunge hapa Mwanza hakuna maendeleo yoyote! Naamini kuwa Mwanza itajengwa na WanaMwanza...
2 Reactions
150 Replies
12K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa Kyela amesema, wapo baadhi ya waangalizi wana mpango wa kukisaidia CCM ili kuingiza kura feki vituoni. Kumbuka waangalizi...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera kamanda Olomi ameawaasa wenye nyumba wasiruhusu watu kukusanyika kwenye maeneo yao wakishatoka kupiga kura. Akielezea kuwa kuna watu wenye nia mbaya wanataka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimejaribu kutafakari juu ya nini kinaweza kutokea katika matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Uchambuzi huu utumike kwa vijana wenzangu kujua uhalisia wa siasa na kujitambua. Binafsi naamini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, nimekuwa nikifuatili kwa kina mikutano na sera za mgombea wa urais kwa tiketi ya ccm mh. John Pombe Magufuli, baadhi ya mambo ambayo amekuwa akiyanadi na kujisifia n kuwa baada...
0 Reactions
4 Replies
935 Views
hizi ni sauti za wananchi zilizosikika kwa sauti ya juu kutoka kwa wanaukawa, zikisema kura ya ndio tunampa Magufuli sio lowassa, wananchi wakaendelea kusema ukawa wamekua wakitudanganya kwa mambo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuachwa kwa Slaa kuteuliwa kugombea kuliwachanganya sana CCM hawakutegemea ndio sababu wanatumia nguvu kubwa kumtangaza mgombea wao ambaye naye hawakumtegemea. Ilikuwa imepangwa Slaa ajitoe...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna mdau kanitumia taarifa kuwa Ukawa wameshindwa kuafikiana juu ya nani hasa asimame kwa tiketi ya umoja wao kati ya mgombea wa CUF na CHADEMA. Gogoro hilo linaendelea kufukuta huku wananchi...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Dalili za aina ya mabadiliko yatakayopatikana baada ya kushinda uchaguzi zinaonekana kwa katika aina ya mabadiliko ya mchakato wa uchaguzi: Mabadiliko ya CCM kukatwa mgombea mwenye kutumia fedha...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza nianze na kuwapongeza ccm kwa strategy zenu uchwara!! Mmetumia nguvu nying sana kweny kampen na sio akili. Badala ya kunadi sera mnatishia wananchi vita na machafuko leo hii kila...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom