Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara...
Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za...
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni!
Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry...
My Take
Hii imeniuma na kumikasirisha sana Kwa sababu makosa yanayoitwa umuhimu Uchumi hayawezi kuwa mkaa na miti asili au wanyamapori.
Ni vyema uhujumu Uchumi uwe ni makosa serious sio haya...
Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato...
Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa...
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
Ni mara ngapi umepiga simu kwenye Taasisi na simu haikupokelewa?
Ni mara ngapi umetuma ujumbe na hukujibiwa?
Ni mara ngapi umepiga simu na number haipatikani sasa unajiuliza kwanini waliweka...
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU
Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena?
Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa...
Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion...
Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani?
Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee...
Wana-JamiiForums,
Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na...
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni...
YAH: OMBI LA KUHARAKISHA UHAMISHO WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, MAJIJI NA MANISPAA BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2025
Mheshimiwa Rais,
Kwanza kabisa, tunakupa pongezi kwa juhudi zako kubwa za...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
Soma hadi mwisho makala Yangu je Wa kwetu hajanunua PhD ?
Chuo hiki kiko na sifa nzuri kimataifa, lakini kama chuo kingine chochote kina udhaifu wake pia. Haya ndiyo yanayorudiwa mara nyingi na...
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.