Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu: Mnufaika wa mkopo akifariki, Sheria inasemaje ili afutiwe deni lake?

riro23

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
788
770
Wadau kuna ndugu yangu alikuwa mnufaika/alipata mkopo wakati anasoma masomo ya elimu ya chuo kikuu miaka ya nyuma.

Kwa sasa ni marehemu, je Sheria inasemaje ili afutiwe deni lake?

Nawasilisha.
 
bodi ya mikopo ipo na shida kwa sababu wapo watu walinufaika na mkopo walimaliza 2008 huko na wanafanya kazi hawakatwi.

wapo waliosoma wapo mtaani wanafanya biashara, sijaona na sijui bodi ya mikopo itatumia njia gani kuwafikia.

so far wanatumia njia rahisi kuwabana waajiri, mfumo wa "ridhiki kitako" yaan hakuna hassle

sasa bwa sheikh inapofika marehemu, NO SIGNAL
 
Kama mkopo ulikuwa na bima ya ku-cover jambo kama hilo, bima italipa. Kama ilikuwa vinginevyo estate yake itahusika kulipa.

Soma terms na conditions za fomu ya mkopo utaelewa.
 
Back
Top Bottom