Mjumbe wa Nyumba 10 vs Mwanasheria

Mjumbe wa Nyumba 10 vs Mwanasheria

RALO

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
55
Reaction score
18
Wakuu wa jamvini habari zenu?

Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria?

Natanguliza shukrani zangu.
 
RALO,

Ingependeza kwa mwanasheria, maana ndio wana nguvu ya kisheria, ila hata kwa Mjumbe sio mbaya
 
Mimi sio mwanasheria ila wakili ndiyo salama zaidi, nenda kasome sheria hii NOTARY PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR AOTHS ACT
 
Bodaboda tu...

Hebu nenda kamalize biashara kwa mtendaji wa mtaa, akishapiga muhuri shughuli imeisha
 
Wakuu wa jamvini habari zenu?

Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria?

Natanguliza shukrani zangu.
Hapo mjumbe Ni sawa na shahidi wa kawaida tu kisheria
 
Back
Top Bottom