Msaada Wa Kisheria katika mikataba ya kupangisha nyumba na Vyumba

Frankie Lucas

Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
16
Points
45

Frankie Lucas

Member
Joined Apr 2, 2015
16 45
Niende kwenye topic moja kwa moja.... Katika harakati za kujikwamua kimaisha vijana kadhaa tukawa tumeingia mkataba wa kupangishwa nyumba na jamaa, mwenye nyumba, Na kama mjuavyo mikataba hii ya kawaida ya upangishaji mnasainishana mwenye nyumba, dalali na shaidi mmoja kama inavyofanyika maeneo mengi mjini dar es salaam.
Ikiwa katikati ya muda wa mikataba yule mwenye nyumba akauza nyumba kwa mtu mwingi, mbaya zaidi akamuelekeza kwamba mikataba ya wapangaji wake inaisha muda ambao ni tofauti na mikataba halisi ya wapangaji waliopo.
Sasa mnunuzi mpya umefika muda alioambiwa anataka kuwaondoa wapangaji. Je kisheria kipi kinaweza wasaidia wapangaji kupata haki yao maana muuzaji wa awali kwa sasa hapatikani na ajulikani alipo?
Naomba kuwasilisha
 
Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
910
Points
1,000

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
910 1,000
Niende kwenye topic moja kwa moja.... Katika harakati za kujikwamua kimaisha vijana kadhaa tukawa tumeingia mkata wa kupangishwa nyumba na jamaa mwenye nyumba, Na kama mjuavyo mikataba hii ya kawaida ya upangishaji mnasainiana mwenye nyumba, dalali na shaidi mmoja kama inavyofanyika maeneo mengi mjini dar es salaam.

Siku zote wajinga ndio waliwao.

Hiyo mikataba yenu ilipaswa kushuhudiwa NA Wakili/Kamishina WA Viapo au Mahakama ndio ingekuwa NA nguvu za Kisheria.KWA hapa ilipo hiyo 'mikataba yenu' siyo mikataba halali na halisi Bali Ni makaratasi tu ya kawaida kama yalivyo makaratasi mengine mnayoyafahamu.

Endapo kama mngekuwa NA Mikataba halali ya Pango kati yenu ninyi wapangaji NA huyo mwenye nyumba aliyeuza, mngeweza kumbana kisheria huyo MTU aliyenunua hiyo nyumba, yaani huyo mmiliki mpya WA hiyo nyumba.Mngeweza kwenda Kwenye vyombo vya Sheria yaani Baraza LA Ardhi LA nyumba LA Kata au Wilaya ili kumuwekea pingamizi asiweze kuwahamisha KWA nguvu mpaka hapo mikataba yenu halali ya Pango itakapo-expire.

KWA kuwa mmeshalikoroga, msubiri kulinywa.
Hizi ndizo gharama za ujinga!
 
Je hakuna namna yoyote ya wapangaji kuwin kwa kuthibisha uhalali wa mikataba?
 
toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
11,328
Points
2,000

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
11,328 2,000

Wewe ni kilaza sijapata kuona... Kwahiyo makubaliano baina ya mwenye nyumba na mpangaji ni void yani haitambuliki kisheria ama? Hivi mlienda kusomea ujinga ama kujaza ujinga huko mashuleni, vitu vikiwa in written na kuna saini tayari mkataba huo unatambulika kisheria, huna akili wewe.
 
Mkataba wako bado una nguvu kisheria, mabadiliko ya mmiliki hayana mashiko kuharibu mkataba wa awali, ilitakiwa mmiliki mpya angewaona na kuwaomba mikataba yenu ili aendelee na pale ilimpoishia na mwenye nyumba wa awali, bado sheria inakulinda kuwa na amani, usitoke mpaka muda wa mkataba utakapo isha, na kama huyo mwenye nyumba mpya anataka uhame akupe notes ili ujipange kuhama
 
kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,918
Points
2,000

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,918 2,000
Wewe ni kilaza sijapata kuona... Kwahiyo makubaliano baina ya mwenye nyumba na mpangaji ni void yani haitambuliki kisheria ama? Hivi mlienda kusomea ujinga ama kujaza ujinga huko mashuleni, vitu vikiwa in written na kuna saini tayari mkataba huo unatambulika kisheria, huna akili wewe.
Mkuu all contracts are agreement but not all agreements are contract, ili mkataba uwe na nguvu kisheria unapaswa kuwa na sifa fulani, kuandikiana na kusainishana haitoshi kufanya uwe mkataba halali wa kisheria, ila kuhusu hii kesi nadhani hawa wapangaji wanayo nafasi ya kuweka zuio hadi muda wao utakapoisha.
 
mfyayukulela

Member
Joined
May 30, 2017
Messages
60
Points
125

mfyayukulela

Member
Joined May 30, 2017
60 125
Siku zote wajinga ndio waliwao.

Hiyo mikataba yenu ilipaswa kushuhudiwa NA Wakili/Kamishina WA Viapo au Mahakama ndio ingekuwa NA nguvu za Kisheria.KWA hapa ilipo hiyo 'mikataba yenu' siyo mikataba halali na halisi Bali Ni makaratasi tu ya kawaida kama yalivyo makaratasi mengine mnayoyafahamu.

Endapo kama mngekuwa NA Mikataba halali ya Pango kati yenu ninyi wapangaji NA huyo mwenye nyumba aliyeuza, mngeweza kumbana kisheria huyo MTU aliyenunua hiyo nyumba, yaani huyo mmiliki mpya WA hiyo nyumba.Mngeweza kwenda Kwenye vyombo vya Sheria yaani Baraza LA Ardhi LA nyumba LA Kata au Wilaya ili kumuwekea pingamizi asiweze kuwahamisha KWA nguvu mpaka hapo mikataba yenu halali ya Pango itakapo-expire.

KWA kuwa mmeshalikoroga, msubiri kulinywa.
Hizi ndizo gharama za ujinga!
Mikataba ipo ya aina nyingi. Simple contract, speciality contracts. N.k na pia kuna sheria zinazosimamia sector mbalimbali. Weka sheria inayotaka mikataba ya nyumba iwe sealed and attested sio kubwabwaja hovyo.
 
Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
910
Points
1,000

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
910 1,000
Mkuu all contracts are agreement but not all agreements are contract, ili mkataba uwe na nguvu kisheria unapaswa kuwa na sifa fulani, kuandikiana na kusainishana haitoshi kufanya uwe mkataba halali wa kisheria, ila kuhusu hii kesi nadhani hawa wapangaji wanayo nafasi ya kuweka zuio hadi muda wao utakapoisha.
Mwambie huyo Na LLB yake uchwala

Bush Lawyers
 
sirmweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
316
Points
250

sirmweli

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
316 250
Wewe ni kilaza sijapata kuona... Kwahiyo makubaliano baina ya mwenye nyumba na mpangaji ni void yani haitambuliki kisheria ama? Hivi mlienda kusomea ujinga ama kujaza ujinga huko mashuleni, vitu vikiwa in written na kuna saini tayari mkataba huo unatambulika kisheria, huna akili wewe.
Nadhani jamaa hajui kitu kuhusu sheria maana huyo mmiliki mpya ndo anatakiwa apate kibali cha mahakama ili awaondoe hao wapangaji kwa nguvu.
 
sirmweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
316
Points
250

sirmweli

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
316 250
Mkuu all contracts are agreement but not all agreements are contract, ili mkataba uwe na nguvu kisheria unapaswa kuwa na sifa fulani, kuandikiana na kusainishana haitoshi kufanya uwe mkataba halali wa kisheria, ila kuhusu hii kesi nadhani hawa wapangaji wanayo nafasi ya kuweka zuio hadi muda wao utakapoisha.
Kimsingi hao ni wapangaji licha ya mapungufu ya mikataba yao hivyo taratibu za kuwaondoa kinguvu ni mpaka mahakama itoe kibali.
 
Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,717
Top