Natafuta Mwanasheria anianiandikie demand notice

John Mwalingo

Member
Apr 29, 2020
11
45
Nina kesi ya madai. nahitaji mdaiwa wangu apelekewe hiyo document. kama kuna mtu anaweza nifanyia hiyo kazi anicheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika tafsiri ya maelezo yako tayari kesi imefunguliwa Mahakamani "Demand note" huandaliwa Kama kesi hijafunguliwa Mahakamani na lengo lake kuu ni taarifa inayopelekwa kwa mtu unaye mdai kuona Kama busara zake zitamfanya alipe kiasi hicho nje ya Mahakama.

May take...!

Tafsri ya neno "kesi" hutamkwa mara baada ya Mahakama kuona dai au madai yaliyo wasilishwa mbele yake imebaini hoja ya kujibu kwa mdai au wadaiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
4,664
2,000
very simple just google for a template
We kweli kanjanja! Mambo sio rahisi hivyo ndugu utampoteza mwenzako!

Hiyo demand notice ina implication kwenye costs za case na ukifanya ukanjanja itakula kwako!

Shida siku hizi vishoka mmekuwa wengi ajabu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom