Msaada wa kisheria au mawazo hapa unahitajika.

Chimbekeha

JF-Expert Member
Dec 1, 2018
1,193
2,163
Habari,
Natumaini ile Good morning glory inatekelezwa vyema, Bila kupoteza muda twende jamvini.

Nina ndugu yangu alipohitimu elimu ya juu akaona bora atafute mahala pa kujishikiza ili aweze kumudu mahitaji yake akawa anajitolea pale TEGETA-Shule ya UNUNIO HIGH SCHOOL kuwapiga msasa madogo wa o level,

Makubaliano yao yalikuwa ni Tsh 400,000 kwa mwezi. Ila makubaliano hayo yalitekelezwa ndani ya miezi miwili ya mwanzo tu baada ya hapo malipo yakawa ya kusuasua mpaka sasa hivi yaani mwezi huu wa Novemba 2022 ameamua kuacha hiyo kazi baada ya kuona malimbikizo ya madeni yamefikia Millioni Tano(5) na hakuna dalili ya kulipwa mpaka sasa,
Serikali naomba Muliangalie na kuingilia kati hili ndugu zetu wanaumia na hizi shule zipo ndani ya mamlaka, huyu ni mmoja tu ila wapo wengi wanadhulumiwa haki zao,

NOTE; Hawatoi mkataba wa maandishi unapoanza kazi, sijui ndo lengo lao la kutolipa mishahara kwa wanaojitolea ndio maana hawatoi mikataba.

KARIBUNI
 
Habari,
Natumaini ile Good morning glory inatekelezwa vyema,
Bila kupoteza muda twende jamvini,

Nina ndugu yangu alipohitimu elimu ya juu akaona bora atafute mahala pa kujishiza ili aweze kumudu mahitaji yake akawa anajitolea pale TEGETA-Shule ya UNUNIO HIGH SCHOOL kuwapiga msasa madogo wa o level,

Makubaliano yao yalikuwa ni Tsh 400,000 kwa mwezi.
Ila makubaliano hayo yalitekelezwa ndani ya miezi miwili ya mwanzo tu baada ya hapo malipo yakawa ya kusuasua mpaka sasa hivi yaani mwezi huu wa Novemba 2022 ameamua kuacha hiyo kazi baada ya kuona malimbikizo ya madeni yamefikia Millioni Tano(5) na hakuna dalili ya kulipwa mpaka sasa,
Serikali naomba Muliangalie na kuingilia kati hili ndugu zetu wanaumia na hizi shule zipo ndani ya mamlaka, huyu ni mmoja tu ila wapo wengi wanadhulumiwa haki zao,

NOTE; Hawatoi mkataba wa maandishi unapoanza kazi
sijui ndo lengo lao la kutolipa mishahara kwa wanaojitolea ndio maana hawatoi mikataba,

KARIBUNI
Kwani ukisema ni wewe unapungukiwa na nini? Kuliko kumsingizia ndugu yako

Kama ni ndugu yako,je. Alipo kupa hiyo taarifa kabla ya kuileta JF Uli mshauri vipi.
 
Kwani ukisema ni wewe unapungukiwa na nini? Kuliko kumsingizia ndugu yako

Kama ni ndugu yako,je. Alipo kupa hiyo taarifa kabla ya kuileta JF Uli mshauri vipi.
Mkuu sio mimi ni ndugu yangu hakika kama una chochote kama msaada unahitajika
 
Habari,
Natumaini ile Good morning glory inatekelezwa vyema, Bila kupoteza muda twende jamvini.
Nina ndugu yangu alipohitimu elimu ya juu akaona bora atafute mahala pa kujishikiza ili aweze kumudu mahitaji yake akawa anajitolea pale TEGETA-Shule ya UNUNIO HIGH SCHOOL kuwapiga msasa madogo wa o level,
NOTE; Hawatoi mkataba wa maandishi unapoanza kazi, sijui ndo lengo lao la kutolipa mishahara kwa wanaojitolea ndio maana hawatoi mikataba.

KARIBUNI
Umeona nilipoweka rangi nyekundu hapo? Hapo ndio mdogo wako/wewe mwenyewe utakaposhindiwa popote utakapoenda kulalamika.

Hiyo rangi nyekundu ikisomwa pamoja na kifungu kidogo nilichoweka rangu ya blue inafanya uwe umetoa sadaka mkuu
 
Hadi sasa sijaona msaada zaidi ya rangi nyekundu na ile ya buluu.
 
Back
Top Bottom