Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Msaada wa mawazo wadau wa sheria kuna jamaa walitaka kunizulumu kupitia simu ambapo huyo jamaa alimpa simu rafiki yake aniletee dukani kwangu jamaa alikuja kama anahitaji msaada wa bondi anaacha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Si jambo geni duniani, ila is it done with good faith? Kuna system kweli Tanzania ya kuhakikisha good faith inakuwa maintained au kesho inategemea ataamkaje? Kuna consistency katika haya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa , Je unaweza kwenda wapi kulalamika , ili kesi ihamishwe toka mahakama ya mwanzo kabla ya hukumu, Karibuni.
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Miaka kama mitano nyuma mkoa fulani niliwahi kuandikishana mkataba na mtu fulani. Nina kieneo ambacho ndani ya eneo hilo nilihesabu hatua kadhaa kumkatia mtu huyo kwa makubaliano ya kunijengea...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Ikiwa mtu kaja kwangu kutaka nimkopeshe hela kama laki nayeye kakubali kuleta kitu cha thamani ya hela au zaidi na tukaandikishana ili kama hatalipa kwa wakati vitu vinakuwa wangu. Sasa ikapita...
0 Reactions
7 Replies
484 Views
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria? Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Sheria inasema kuwa Review lazima ioneshe kuwa kuna kitu/sheria kimekosewa wazi wazi na kuhitaji marekebisho. kwa kiingereza inaitwa : There is a manifest error on the face of the record...
1 Reactions
2 Replies
768 Views
Habari Wana jamii, Upande wa Sheria! Nilimaliza masomo yangu ngazi ya stashahada kwenye chuo kimoja wapo cha serikali hapa jijini dsm mwaka 2016. Tatizo likaja sikuwa nimemaliza ada tena hela...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wajuzi wa sheris naomba Msaada wenu wa kisheria. Je, ni hatua gani zinapaswa Kuchukuliwa dhido ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa inapokataa kutekeleza hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa katika...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
Habari wana JF. Huu mwaka nimedhamiria angalau kwa kila wiki niwe naweka uzi mmoja unaohusu swala la kisheria. Nimeamua hivyo baada ya kuona changamoto nyingi sana za kisheria zinazoikumba jamii...
4 Reactions
4 Replies
766 Views
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kazi kidogo kesho Tar. 14.1.2023 Jumamosi nahitaji mwanasheria aniandalie mkataba konki wa Mauziano ya Shamba/ Kiwanja Jiji la Arusha. Kama kuna mwana JF mwana sheria basi anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na...
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Habari wakuu humu ndani. Mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo Dodoma kikazi. Nina nyumba yangu mkoani Iringa. Baba alishawahi kuchukulia mkopo katika bank ya NMB. Leo wakati natoka kazini...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Habari za wakati huu wanajamvi,, Ngoja niende kwenye point yangu . . NAOMBA MSAADA WA KISHERIA NA TOFAUTI KATI YA WARRANTY NA GUARANTEE (za manunuzi)
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Husika na somo tajwa, Wakili aliebobea katika sheria za ardhi na mirathi , tuwasiliane Tafadhali
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Kwema humu, Nisiwachoshe nimeishi na mke wangu kwenye ndoa mpaka sasa ni miaka mitano ila kutokana na changamoto za ndoa nilikuwa nahitaji tuachane kwa amani na mke wangu pasi kugombana, kwahiyo...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Back
Top Bottom