Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Naomba, kwa anayefahamu (kwa mawakili tu), msaada wa kupata ile VC kwenye Wakili Stamp System. Nitashukuru sana kwa hili.
0 Reactions
0 Replies
986 Views
WanaJF hasa wajuzi wa sheria ya ndoa nina jambo naomba kupata ufafanuzi. Majuzi niliona cheti cha ndoa cha mme na mke waliofunga ndoa ya kikristo miaka kadhaa iliyopita. Kwenye cheti niliona...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Moot Court Scenario for LLB-II Ally, son of Ramadhan, and Aneth, daughter of Fredrick, are childhood friends. Two years ago, they completed their Bachelor of Laws degree together at Lawyers Only...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, naomba msaada katika suala hili. Nilipofikisha umri wa miaka 10 niliugua sana, katika kutafuta tiba mzazi wangu akakutana na ushauri wa mimi kutumia jina jingne (nimefupisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna nyumba ya urithi,wanafamilia wahusika wote tumekubaliana kuiuza,na tumeandika muhtasari wa kikao cha kuuza,kiasi cha pesa na mgawanyo wake wote,tumeukabidhi mahakamani. Jambo linalotutatiza...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA. SEHEMU YA KWANZA (01) Mr. George Francis Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Nisaidie maelezo ya hizi sections by giving ILLUSTRATIONS 17. (1) Where a person, who would, if he were living, have a right to institute a suit or make an application, dies before the right...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga. Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Hello, katika mada ya leo tutajifunza maana, sifa na aina mbali mbali za makampuni (categorization of companies). Makala hii imeandaliwa na kuletwa kwako na Zakaria Maseke - Advocate Candidate...
2 Reactions
1 Replies
11K Views
Nachelea kusema hivyo kwa kuona kabisa mahakamani ni wanafiki wanaposikiloza kesi za wananchi wakati huohuo wamawasimamisha watumishi wao kwa kipindi kirefu pasipo kutoa maamuzi juu ya tuhuma...
0 Reactions
4 Replies
496 Views
Kuna msala aliwahi kupata mtu wangu wa karibu alibainika kuwa amembebesha mimba mwanafunzi. Baada ya kutajwa alitimka na familia yake iliwajibishwa kulipa kiasi Cha TZS 7,400,000/= kama fidia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
JE MWANANDOA ALIYESABABISHA NDOA KUVUNJIKA NAYE ANASTAHILI MGAO WA MALI? Na Bashir Yakub 0784482959 Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama...
3 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari za majukumu wanajukwaa! Kwa mara ya kwanza natua kwenye jukwaa hili jukwaa,nikiwa na shida ya ushauri kutoka kwenu! Niende moja kwa moja kwenye suala lenyewe. Kuna jamaa mmoja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada wa mawazo wadau wa sheria kuna jamaa walitaka kunizulumu kupitia simu ambapo huyo jamaa alimpa simu rafiki yake aniletee dukani kwangu jamaa alikuja kama anahitaji msaada wa bondi anaacha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Si jambo geni duniani, ila is it done with good faith? Kuna system kweli Tanzania ya kuhakikisha good faith inakuwa maintained au kesho inategemea ataamkaje? Kuna consistency katika haya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa , Je unaweza kwenda wapi kulalamika , ili kesi ihamishwe toka mahakama ya mwanzo kabla ya hukumu, Karibuni.
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Miaka kama mitano nyuma mkoa fulani niliwahi kuandikishana mkataba na mtu fulani. Nina kieneo ambacho ndani ya eneo hilo nilihesabu hatua kadhaa kumkatia mtu huyo kwa makubaliano ya kunijengea...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Ikiwa mtu kaja kwangu kutaka nimkopeshe hela kama laki nayeye kakubali kuleta kitu cha thamani ya hela au zaidi na tukaandikishana ili kama hatalipa kwa wakati vitu vinakuwa wangu. Sasa ikapita...
0 Reactions
7 Replies
485 Views
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…