Wakili anafile chamber application mahakama ya wilaya, order inatoka kesi ihamishiwe mahakama ya wilaya.Naomba kueleweshwa ,
Je unaweza kwenda wapi kulalamika , ili kesi ihamishwe toka mahakama ya mwanzo kabla ya hukumu,
Karibuni.
Mweleze tu kuwa wewe ni Kada wa CCM na kwamba una connection huko juu. Watakuuzia haki Yako Wala usijali, pole saana I can feel your painNaomba kueleweshwa ,
Je unaweza kwenda wapi kulalamika , ili kesi ihamishwe toka mahakama ya mwanzo kabla ya hukumu,
Karibuni.
Kumbe ni liccm hili, sikujuwa.Mweleze tu kuwa wewe ni Kada wa CCM na kwamba una connection huko juu. Watakuuzia haki Yako Wala usijali, pole saana I can feel your pain
Hapana , ni jamaangu ana kesi,Mweleze tu kuwa wewe ni Kada wa CCM na kwamba una connection huko juu. Watakuuzia haki Yako Wala usijali, pole saana I can feel your pain
Mwongozo ndio huo hapo juu, tafuta Wakili atakayewasaidia kuandika chamber application kwa bei nafuu kuipeleka mahakama ya wilaya.Hapana , ni jamaangu ana kesi,
Ni fundi computer, mteja alileta computer lakini huku na huku mteja kafika kituo cha polisi,
Jamaa kuitwa hakuchukua muda kafikishwa mahakamani na kupigwa ndani siku 3,
Ingawa jamaa ana zaid ya miaka 15 kwenye kazi yake hapohapo na hajawah fika polisi kwa kesi yeyote,
Sasa kama miezi 6 hivi nyuma alikuwa na msala uliopelekea kuwa na mahusiano mabaya na maaskari hadi hakimu.
Yaan wale wale ambao kajikuta yupo mikonon mwao tena.
Ndio hivyo sasa hana imani na hakimu.
Ni suala la jurisdiction.Hapana , ni jamaangu ana kesi,

Uliomba vipi?Mahakimu huwa wanakataa!
Imenitokea hii nilikuwa na kesi ya mchongo na polisi nikaomba hamisho wakakataa kwamba sababu haina mashiko.
Hiyo application unaomba Nini? Kwa mujibu wa Sheria Gani?Wakili anafile chamber application mahakama ya wilaya, order inatoka kesi ihamishiwe mahakama ya wilaya.
RubbishKumbe ni liccm hili, sikujuwa.
Aliyekwambia anataka hakimu ajitowe nani?Hiyo application unaomba Nini? Kwa mujibu wa Sheria Gani?
Na je unajua kuna utaratibu wa move mahakama ili hakimu ajitoe katika kesi na apangiwe mwingine?
Kwa jinsi ulivyouliza, inabidi mtu ausome uzi wote akuelewe. Au akuulize angalau swali moja apate muongozo.Swali juu ya swali!!
Sawa Mkuu,Kwa jinsi ulivyouliza, inabidi mtu ausome uzi wote akuelewe. Au akuulize angalau swali moja apate muongozo.
Anyways jibu ni ndiyo kwa huyo fundi computer. Lakini in general, jibu litategemea na aina ya kesi na jurisdiction ya mahakama.
Kama kosa alilosomewa linaweza kumfumga zaidi ya mwaka, au kinaweza kumpa adhabu ya viboko, basi anaweza kuomba kuhamisha kesi kwenda mahakama ya wilaya kabla ya kujibu kesi.