Kante kunta
New Member
- Jul 25, 2022
- 3
- 2
Msaada wa mawazo wadau wa sheria kuna jamaa walitaka kunizulumu kupitia simu ambapo huyo jamaa alimpa simu rafiki yake aniletee dukani kwangu jamaa alikuja kama anahitaji msaada wa bondi anaacha simu kisha atakuja kulipa na kuchukua simu yake
Baada ya wiki yule jamaa akaja na kudai kwamba amekosa hela ya kunipa so nimuuongeze kiasi cha pesa ili nibaki na ile simu nikafanya hivyo nikamuongeza pesa mi nikabaki na ille simu kisha mimi nikaiuza illi kurudisha hela ya ofisi
Baada ya wiki anakuja jamaa mwingine akiwa na askari anadai nina simu yake yeye ameibiwa simu nikamwambia mimi sijaiba simu ililetwa na mtu fulani na anaishi eneo fulani na nimeshaiuza labda niwapeleke kwa huyo alieleta simu wakakataa kuhusu huyo aliniletea simu,
Hapo nikashtuka nikahisi naibiwa kwanini hawataki niwapeleke kwa alienipa simu basi nikapatwa na jazba nikahisi wana mpango wa kuniibia, bahati mbaya tukapisha kauli nikampiga ngumi moja yule jamaa aliekuja na askari akidai ni simu yake akadondoka chini na kuumia.
Nikapelekwa polisi kwa kosa la kujeruhi na si kosa la simu kama ilivyokua awali na jamaa anataka kunipeleka mahakamani kunifunga la sivyo familia yangu itoe milioni hamsini na ukweli ni kwamba yule jamaa alieumia wala hakuibiwa simu bali alimpa rafiki yake na ndie alieleta simu kwangu so jarada la kesi ni kuhusu kujeruhi yaani nilimpiga ngumi moja bahati mbaya alivunjika taya
Naomba ushauri Naanzaje Kupangua illi swali uko mahakamani ya kwamba ( upo hapa kwa kosa la kujeruhi ni kweli ama si kweli) maana nasikia nikisema ni kweli tu nitafungwa na sitopata nafasi ya kuieleza mahakama juu ya uovu waliotaka kunifanyia maana ni kweli nilimpiga illla wao ndio waliotaka kuniibia mimi Msaada jamani kwa walionielewa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app