Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wataalamu,
Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao...
Rafiki yangu anayefundisha idara ya muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu. Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa...
Kwenu wajuvi wa sheria za biashara.
Ninafanya biashara ndogo ya kuuza na kununua simu used, zilizotumika hapahapa jijini Dar almaarufu simu za mkononi..
Changamoto kubwa kama mjuavyo huwa kuna...
Habari Wakuu,
Kwa wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hii sheria inayohusiana na service levy.
Je ni nani ambaye anaingia katika kundi la kulipia hii service levy katika halmashauri...
Habar wana jukwaa,
Naomba kujuzwa au kupewa mawazo ya kisheria juu ya adhabu ambayo inaweza pewa hospital kwa kutumia vyeti na leseni ya mtu kwa kufoji mkataba na sign yake ili ionekane mtu yupo...
Kuna mtu mimea/mazao yake imeliwa na mifugo wa jirani yake. Na Jamaa mwenye mifugo anakataa kuwa mifugo wake hawajaingia Kwenye shamba lake.
Utajengaje ushahidi kuwa kweli ni mifugo yake ndiyo...
NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI)
Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo...
Soma kesi ya REPUBLIC Vs FREEMAN AIKAEL MBOWE na wenzake watatu, Kesi ya uhujumu uchumi namba 16 of 2021.
Summary By, Zakaria Maseke
Kwenye hii kesi, prosecution walikosea, citation ya Sheria...
AMRI YA KUKAZIA HUKUMU HAIKATIWI RUFAA: KALEBU KUBOJA MJINJA Vs SHADRACK DANIEL TEMBE, CIVIL APPEAL NO. 24 OF 2020.
Hii kesi imetafsiriwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke, Advocate...
Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
Wakuu kwema
Enzi sijafunga ndoa nilizaa mtoto wa kiume na binti mmoja wa kiislam kutoka Tanga. Hatukua na mpango wa kuoana hivyo mtoto alipofikisha umri wa miaka miwili kasoro nikamchukua na...
Naomba msaada juu ya hili.
Je, mwanamke aliyeolewa Kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho.
Marehemu bibi yetu alifariki kitambo sana, na alizaa watoto wawili wa kike, ambao walikuwa ni mama zetu mkubwa na mdogo nao pia walifariki kitambo sana.
Nyumba aliyoiacha marehemu bibi yetu bado...
Kwa mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya Sheria namba 3 ya mwaka 2021, WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENT NO 3 ) ACT, 2021
Kwa mujibu wa SHERIA hii ambayo ilikifuta kifungu Cha 15 Cha THE LAND...
Nina ndungu yangu kashtakiwa mahakama ya mwanzo; kesi iko hivi.
Huyu ndugu alipelekewa simu (smart phone) na rafiki yake wa kike amsaidie kuaply kazi za Tamisemi badae sensa, amekaa na Ile simu...
Habari zenu Wana JF?
Kuna nyuzi kadhaa nilizowahi kuziandika hapa na nikapata shauri mbalimbali toka kwenu.
Mwanamke nilie zaa naye, ila tumechelewa kufunga ndoa kulingana na ukosefu wa mahari...
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.
Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na...
Habari wana JF
Leo naomba kuongelea au kuliwekea ufafanuzi jambo moja ambalo limekuwa likielezwa vibaya au kimakosa na watu wengi wengine wakiwa ni viongozi hadi wa kiserikali.
Suala hilo ni...