Uzinzi ni dhambi lakini si kosa kisheria

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.

Dhambi imepambwa na dhambi ni tamu maana Allah akaweka mtihani ndani yake. Ona Mwenyezimungu jinsi anaikataza zinaa kwa kusema " Wala msiikaribie zinaa hakika zinaa ni uchafu na ni njia mbaya kabisa" Ona hakuishia hapo bali akaongeza katika sehemu nyingine nje ya Quran kwamba " Hatafanya mtu zinaa ila mtu huyo atakufa fakiri, yaani maskini" Bado mtume akafundisha kuwa zinaa ina madhara mengi, mojawapo huondoa amani ndani ya nafsi, mbili huleta magonjwa na tatu huondoa aibu. Hizo tatu ni zile zinazoonekana nyingine tatu ni zisizoonekana yaani baada ya mtu kufa moja wapo ikiwa ni moto wa Jahanam ikiwa hadi umauti unakukumba hujafanya toba isiyorejewa.

Yesu naye hakuishia hapo yeye alisema na "Amuangaliye mwanamke kwa kumtamani basi na amekwisha kuzini naye moyoni" Yote hii ni kuonyesha hatari ya zinaa kuwa siyo lazima kukutana kimwili bali tujihadhali na hat akutamani ili tuurihi ufalme wake!

TATIZO NI KUWA MWANADAMU AMEJITWALIA MAMLAKA YA KUJIONGOZA JUKUMU AMBALO NI LA MUUMBA NA KUJIWEEKEA SHERIA AMBAZO NDIZO CHANZO CHA UHARIBIFU KATIKA DUNIA HII

Wanasheria tusaidieni jinsi ya kuandaa mswada wa sheria hii, tuufikishe bungeni. Hata kama tumechelewa, tutaokoa wengi.

sijui kama tupo sawa!
tunaozini si waumini katika dini zetu?
Vipi misaafu inaturuhusu au tunakaidi?
je sheria ndo tutaiheshimu kweli?

Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.

Uzinzi ni nini?

Mleta mada ndio umezinduka u? Acha nikukumbushe kuwa sheria ni moja ya taalama kongwe duniani . Wanasheria wote waliopita baada ya Adam ha Hawa hawajathubutu kutunga sheria ya aina hii japo uzinzi ulikuwepo pia sembuse leo? Ahh nimekumbuka ..... Infact mgamba wanaweza uh.

Actus reus + Mens rea =CRIME. Subirini nifikishe angalau miaka 70 ndio mlete muswada wenu.

Who told you that you will be there for the next 2yrs. Je Mungu akikujibu kama alivyomjibu yule tajiri mjinga kwenye kitabu cha Luka kwamba" Mpumbafu wewe usiku huu wanataka roho yako na vitu ulivyojiwekea vitakuwa vya nani"?

Tusijidanganye wana JF ni kwamba tunajua tu ya leo hatujui hata kama tukitoka kazini tutafika nyumbani salama; ni kwa neema za Mungu tu hatufi kwani anatulinda ili tufikie toba tusife ktk dhambi tukatupwa motoni. Hivyo nakushauri umri uliobaki jitahidi kumrudia Mungu ili angalau asahau hata yale mabaya ya zamani na uendelee kutenda mema kwa muda uliobaki na uishi ndani ya ulinzi wa Mungu. kama unataka nyongeza ya miaka ili uendelee kutenda uovu Mungu katika neno lake ' BIBLE"anasema siku zao watendao maovu zitakatizwa kwa be careful mkuu inawezekana 70 ikawa mbali sana kufikika.

Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.

Katika nchi ya CANADA uzinzi ni kosa la jinai lipasalo kifungo ,faini au kuvunjika kwa ndoa au vyote kwa pamoja. Nilikuwa na boss wangu wa huko alikuwa anaogopa ile mbaya na alikuwa anajilinda sana asiingie mtegoni.

Mkuu mbona sikuelewi heading yako haiendani kwamba c kosa uzinzi kivipi mtujuze

MVUMBUZI, hapo patamu. Naomba tusaidie copy ya hiyo sheria ya Canada hapa jamvini. Tuipitie kwa pamoja, ili tuone kama tunaweza kui-adopt hapa Tanzania.

Uzinzi ni nini?

Uzinzi = Zinaa, ni dhambi kwa mujibu wa vitabu vitakatifu vya dini za kiislam, kikristo, nk.

Ila kwa hapa nchini kwetu Tanzania, zinaa (uzinzi) si kosa kwa mujibu wa sheria, na hakuna kanuni za adhabu katika mahakama zetu.

Mkuu mbona sikuelewi heading yako haiendani kwamba c kosa uzinzi kivipi mtujuze

Namaanisha kwamba, sheria za Tanzania hazitambui tendo la kufanya zinaa kama kosa linalostahili adhabu baada ya mtu kutiwa hatiani.

Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.

baada yakutunga waweke kamera magest

Hivi mimba za utotoni zinatokana na uzinzi au uasherati? Jaribu kutofautisha uzinzi na uasherati. Katika waraka mmojawapo wa Paulo, uasherati ni matendo ya mwili, sawasawa na uchawi, uchafu, ulafi, ufisadi, na ulevi. Wakati uzinzi utaukuta katika agano la kale ambapo imetajwa kama amri kuu.

Uzinzi ndio unaosababisha maovu yote, pamoja na mimba za utotoni. Usizini = usifanye zinaa!

Sheria iseme wazi kwamba, atakayepatikana na hatia ya kuzini, adhabu yake ni kifungo cha miaka kadhaa jela!

Baadhi ya hoteli na nyumba za wageni, zinazuia watu wa jinsia mbili tofauti kuchukua chumba kama hawana uthibitisho kwamba wao ni mke na mume wake.

Uzinzi = Zinaa, ni dhambi kwa mujibu wa vitabu vitakatifu vya dini za kiislam, kikristo, nk.

Ila kwa hapa nchini kwetu Tanzania, zinaa (uzinzi) si kosa kwa mujibu wa sheria, na hakuna kanuni za adhabu katika mahakama zetu.

unajipigia debe tukupe uhakimu wa wazinzi??? too late. uasherati je???

Uzinzi ni nini ?

Ni hatari sana kutunga sheria za nchi kutokana na shibe za kulevya za kidini.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom