Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Habari wanajamvi,
Naomba ufafanuzi wa neno Affidavity linalotumika.
Asanteni
Naomba ufafanuzi wa neno Affidavity linalotumika.
Asanteni
Ni hati ya kiapo.Disclaimer:Mimi siyo mwanasheria, ila ninavyoijua Affidavit ni cheti/Hati ya muda inayotolewa na mahakama kwa ajili ya kuthibitisha uraia wa mtu, hutumika badala ya cheti cha kuzaliwa
Habari wanajamvi,
Naomba ufafanuzi wa neno Affidavity linalotumika.
Asanteni
OK,,,,,sasa kuna mtu anataka kuapa kubadili jina lake la kwanza ambalo ndilo lilitumika shuleni yaan kutoka kuitwa Juma na liwe Jackob,,,,,je iyo ndo inayoweza kusimama????Ni hati ya kiapo.
Kama mdau alivyosema Kinaweza kuwa cheti cha kuzaliwa.
Kuthibitisha majina n.k.
Mfano mimi kuna kipindi nilizinguliw
Majina yangu ya kwenye ID yalitofautina kidogo hivyo nikaenda nikaapa kuwa majina yote ni yangu nikapewa affidavit na popote niendapo nikiulizwa mbona majina hayafanani natoa affidavit habari kwisha.
Nawai kijiweni nimechelewa.
Naona maandalizi ya mei mosi (mwezi wa 5) yamefikaOK,,,,,sasa kuna mtu anataka kuapa kubadili jina lake la kwanza ambalo ndilo lilitumika shuleni yaan kutoka kuitwa Juma na liwe Jackob,,,,,je iyo ndo inayoweza kusimama????
Kwamba anataka jina la Jackob ndilo litambulike na hata ktk kuandikisha cheti cha uraia aweze kutumia jina la Jackob,je kwa iyo affidavity inawezekana????
Sasa nashindwa kuelewa kama hii ishu yake ni affidavit of proof of names ama anataka kubadili jina ambalo halikuwepo kabisa.OK,,,,,sasa kuna mtu anataka kuapa kubadili jina lake la kwanza ambalo ndilo lilitumika shuleni yaan kutoka kuitwa Juma na liwe Jackob,,,,,je iyo ndo inayoweza kusimama????
Kwamba anataka jina la Jackob ndilo litambulike na hata ktk kuandikisha cheti cha uraia aweze kutumia jina la Jackob,je kwa iyo affidavity inawezekana????
Hiyo ya kubadili jina inaitwa DEED POLL,inatengenezwa na mtaalam wa sheria,na inatakiwa isajiriwe kwa msajiri wa hati na itangazwe kwenye gazeti la serikali,Government GazetteOK,,,,,sasa kuna mtu anataka kuapa kubadili jina lake la kwanza ambalo ndilo lilitumika shuleni yaan kutoka kuitwa Juma na liwe Jackob,,,,,je iyo ndo inayoweza kusimama????
Kwamba anataka jina la Jackob ndilo litambulike na hata ktk kuandikisha cheti cha uraia aweze kutumia jina la Jackob,je kwa iyo affidavity inawezekana????
Hiyo ya kubadili jina inaitwa DEED POLL,inatengenezwa na mtaalam wa sheria,na inatakiwa isajiriwe kwa msajiri wa hati na itangazwe kwenye gazeti la serikali,Government Gazette
Affidavit ni kiapo ambacho unaapa mbele ya kamishna wa viapo,anaweza kuwa hakimu au wakili kuhusu jambo ambalo unataka kuthibitisha,ukishaapa wakili/hakimu atapiga muhuri kuthibitisha kwamba ameshuhudia mambo uliyoapa,Affidavit haibadilishi jina.
DISCLAIMER: ni vizuri uonane na mtaalam wa sheria aliye karibu nawe

kama unajua kizungu, hope this will serve the purposeHabari wanajamvi,
Naomba ufafanuzi wa neno Affidavity linalotumika.
Asanteni
OK sasa IPI ni sahihi ya kutumia kati ya Affidavit na DEED POLL???? maana kama nilivyosema lengo ni kuanza kutumia jina la Jackob popote hata kama passport itumike Jackob badala ya Juma LA shulenikama unajua kizungu, hope this will serve the purpose
An affidavit is a document that contains facts that you swear under oath or affirm to be true. You can use an affidavit instead of sitting in the witness box to give your evidence to the judge. A good affidavit provides just enough important information to enable the judge to make a quick decision.
Because the judge relies on affidavits to make important decisions, there are strict rules about how they should be written, what they can include, and how they must be sworn or affirmed.
Hapo mkuu nakuelewa!! Sasa iyo DEED POLL nayo kwa mwanasheria naweza pata????
Maana lengo kubwa ni kuwa na uhalali wa kutumia jina la Jackob popote iwe kwny kitamblisho cha Kura au Uraia nk.
Ok,,,lugha ni tatzo kdg,,,,lakn inaonyesha DEED POLL ndo nzurii zaidi kuliko affidavit. Maana kama aliajiriwa kwa jina la Juma,,,,,,kwa kupitia DEED POLL mwajiri ataweza kumtambua kwa jina la Jackob??? Kama ntakua nimeelewa!!!!!!!Soma hii, self explanatory! Homework kidogo..
What is the purpose of a Deed Poll?
If you want to change your name and get all your official documents and records changed to show your new name e.g. your UK passport, driving licence, bank account, credit card, medical records etc, you will be asked to produce documentary evidence of your name change. A Deed Poll document is a formal statement that enables you to prove to such record holders that you have changed your name and it provides you with the required documentary evidence of the name by which you wish to be known.
A Deed Poll works in the same way a marriage certificate works for a married woman who wishes to take her husband's surname. She writes to everyone that has her name records, enclosing her marriage certificate as documentary evidence of her name change, and requests her surname is changed to her husband's surname. When changing your name by Deed Poll, you simply do the same i.e. write to everyone, enclosing your Deed Poll as documentary evidence of your name change, and request your records are changed to the new name shown on the Deed Poll document.
Good sana, really meaningNi hati ya kiapo.
Kama mdau alivyosema Kinaweza kuwa cheti cha kuzaliwa.
Kuthibitisha majina n.k.
Mfano mimi kuna kipindi nilizinguliw
Majina yangu ya kwenye ID yalitofautina kidogo hivyo nikaenda nikaapa kuwa majina yote ni yangu nikapewa affidavit na popote niendapo nikiulizwa mbona majina hayafanani natoa affidavit habari kwisha.
Nawai kijiweni nimechelewa.
Ni hivi, mke wako alikuwa anatumia say jina Mary John, kwa vile anataka aonekane anatumia ubini wa mume wake Illovo. Cheti cha ndoa ni ushahidi tosha kuwa Mary John abadilishwe aitwe Mary Illovo.COMMISSIONER FOR OATHS anaweza akausainia deed poll yako ambayo ataidraft kwa niaba yako... something of that natureOk,,,lugha ni tatzo kdg,,,,lakn inaonyesha DEED POLL ndo nzurii zaidi kuliko affidavit. Maana kama aliajiriwa kwa jina la Juma,,,,,,kwa kupitia DEED POLL mwajiri ataweza kumtambua kwa jina la Jackob??? Kama ntakua nimeelewa!!!!!!!
Sasa iyo DEED POLL anaweza ipata wapi ni mahakani au kwa wanasheria kwanza????
Ni hivi, mke wako alikuwa anatumia say jina Mary John, kwa vile anataka aonekane anatumia ubini wa mume wake Illovo. Cheti cha ndoa ni ushahidi tosha kuwa Mary John abadilishwe aitwe Mary Illovo.COMMISSIONER FOR OATHS anaweza akausainia deed poll yako ambayo ataidraft kwa niaba yako... something of that nature
EXACTLY!Ok,,,,,kwaiyo akitaka kuomba kazi atatumia cheti cha shule chenye jina la Juma Lucas. Ila barua ya maombi ataandika kwa jina la Jackob Lucas na kuambatanisha na iyo DEED POLL sio???????
Kama unataka kubadili jina unatakiwa kuandaliwa Deed Poll isainiwe na Wakili kisha unakwenda kuisajili kwa Msajili wa Hati Wizara ya Ardhi.