Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari wanasheria wa jf,naombeni msaada kwenye hili langu jambo. Mimi ni mtumishi wa serikali(mwalimu) kwa sasa sipo kituoni niko chuoni. Niliporipoti kwenye kituo cha kazi uongozi wa kijiji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu waungwana. Nina mambo machache ambayo yananitatiza kuhusu hawa wakaguz wa *TANESCO wanaopita majumbani mwetu.* 1)Je Wanayo haki ya kuingia ndan ya nyumba yako bila ya ruhusa yako au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu yangu kahukumiwa kifungo cha miezi sita kwenye kesi ya madai..............; kwamba aliwaajiri watu amabao walikubaliana kulipana bbada muda fulani na kwa kuwa yeye hakuwa ametimiza malipo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaji aamuru Rama anayetuhumiwa kuua apimwe akili Wednesday, 05 October 2011 19:44 James Magai MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni msaada katika hili, Nimejaribu kupekua Kanuni ya Adhabu sijapata sehemu inayotaja kuwa Ugoni (Adultery) ni kosa la jinai. Katika kupitia Sheria ya Ndoa nimepata sehemu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
MALAWI JUDICIARY GRINDS TO A HALT AS JUDGES JOIN STRIKE Malawian judges and magistrates have joined in an indefinite strike started two months ago by judiciary support staff. Judicial clerks in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Soda hii nimeinunua jana kwa muuzaji wa jumla ilikuwamo katika kreti la soda ndani kuna kisoda ambacho inaonyesha kuwa mwywaji wa mwisho alikikunja na kukiweka ndani ya chupa na iliporudishwa...
3 Reactions
104 Replies
16K Views
wanasheria naomba msaada wenu,nimehama wizara kutoka wizara ya elimu kwenda wizara nyingine,nimefanya kazi ktk wizara ya elimu toka 2003 hadi 2009,sikufanikiwa kuhamisha file kutoka wizara ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana tarehe 29 Februari 2012 nikiwa naendesha Rav4 (T601 BDD) majira ya saa 9;27 alasiri niliingiza gari yangu katika kituo cha daladala cha Msimbazi pale Kariakoo ili nimshushe mtu niliyekuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kujua juu ya baba na mama wanapotengana,na baba akataka apewe mtoto wake lakini mtotohuyu ana umri wa miaka 2 na nusu je utaratibu unakuaje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zanguni; tarehe 30 Jan, 2012 niliasaini mkataba wa ajira inayoanza tar. 31 Jan hadi 31 JAN 2013. Jamani kazi ilikuwa ni project ambayo nilitakiwa kwenda kuripori mkoani tarehe 31 Jan, 2012...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
My own experiences has revealed that this world has two types of lawyers Those who knows the laws ..................and those who knows the judges.......................
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi ni mtazania wa kawaida na najaribu kupambana na ugumu wa maisha ya hapa bongo ambapo pengo kati ya maskini na tajiri linazidi kuongezeka siku hadi siku. Nilisikia habari ya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
WanaJF hususani jamvi la Sheria naomba msaada wenu. Ndugu yangu alishitakiwa kwa kosa la jinai, kesi imekuwa ikisomwa mara kwa mara kwa muda usiopungua siku tisini (90) baada ya hapo mahakama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WaTZ 80,000 watafikishwa mahakamani kwa kutolipa mikopo ya elimu ya juu Source BBC
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu (63), amedai mahakamani kuwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani nauliza hv huu ujazaji wa fomu mpya ni kwa wateja wa CRDB tu au na benki zingine?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujua ni kipengelee gani cha sheria ya nchi kinachoruhusu kikosi cha zima moto kusimamisha magari na kukakugua fire exstingush na kama hauna unaandikiwa notification.msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa yangu ameshinda kesi CMA baada ya mwezi mmoja kupita bila mwajiri kusema lolote akaamua kukazia hukumu ambapo Mahakama kuu ikatoa order kwa mwajiri ikimtaka kutekeleza maamuzi ya CMA jamaa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kwa wale ndugu zangu Mashahidi wa Jehova ambao hawalielewi kabisa swala la Blood Transfusion hapa mnafanyaje Section 8 Sub 3 of The Law of the Child Act 2009 A person shall not deny a child...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…