Namna ya kukata rufaa baada ya hukumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya kukata rufaa baada ya hukumu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Masikini_Jeuri, Mar 7, 2012.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ndugu yangu kahukumiwa kifungo cha miezi sita kwenye kesi ya madai..............; kwamba aliwaajiri watu amabao walikubaliana kulipana bbada muda fulani na kwa kuwa yeye hakuwa ametimiza malipo muda ulipofika ; wadai wake walifungua kesi katika mahakama ya mwanzo na hukumu imetolewa kuwa atumikie kifungo kwa muda huo isha akitoka alipe deni................ndivyo nilivyosimulliwa

  Wadau wa sheria nisaidieni ....kesi ya madai kama hii in adhabu ya kufungwa ama kuna namna ama shinikizo nisilolijua hapa? najiandaa kukata rufaa kuwa haki haikutendeka upande wa ndugu yangu naombeni ushauri.........juu ya utaratibu na vigezo vya kuomba kusikilizwa upya kwa kesi hiii katika mahakama ya juu.

  nakaribsisha PM pia
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  MMh ...........wanasheria wa JF kulikoni?
   
Loading...