Ndugu zangu naombeni msaada katika hili,
Nimejaribu kupekua Kanuni ya Adhabu sijapata sehemu inayotaja kuwa Ugoni (Adultery) ni kosa la jinai. Katika kupitia Sheria ya Ndoa nimepata sehemu iliyoandikwa kuwa adultery ni kosa la kimadai na faini ndio relief kwa aliyetendewa.
SWALI: Kutokana na ongezeko la kuvunjika kwa ndoa, ambazo wote kwa pamoja tutakubaliana kuwa ni taasisi muhimu, pamoja na ugonjwa hatari wa ukimwi hatuoni sasa ni wakati mwafaka kuifanya adultery kosa la jinai? Au kuna katazo gani kisheria?