Msaada wa sheria kuhusu tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa sheria kuhusu tanesco

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Babdeel, Mar 8, 2012.

 1. Babdeel

  Babdeel Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habar zenu waungwana. Nina mambo machache ambayo yananitatiza kuhusu hawa wakaguz wa *TANESCO wanaopita majumbani mwetu.*
  1)Je Wanayo haki ya kuingia ndan ya nyumba yako bila ya ruhusa yako au kupitia kwa mjumbe/mwenyekit wa mtaa??
  2)Wakikagua mita yako na wakakwambia kuwa mita imechezewa je wewe ni kukubali tu wayasemayo hali ya kuwa hujafanya hicho kitu??
  3) kuna taratibu nyengine unaweza kufata usilipe fine??
  4)Wakikwambia kuwa mita imechezewa na wewe ukapingana nao je wanayo haki ya kukukatia umeme??
  *
  Ni hayo tu waungwana,..jana walikwenda hom kwangu wakamkuta kijana wangu pale,..zaid ya kuwaonesha mita hakuwaruhusu kuingia ndani,..baada ya kujibizana wakafanikiwa kuingia ndan kuchek vitu,..wakasema mita ipo okay ila kuna deni la nyuma ambalo ni kama milion 5 na ushee,..daah wamenchanganya kwa kweli kwasababu toka nihamie hii nyumba ni mwaka takriban wa 18 na sikuwahi kulisikia hili den wala kuliona,sababu mita nilibadilisha.. Naweza kufungua kesi kwa ishu kama hii??

  MCHANGO WENU ELDERS.
   
Loading...