soda hii ni hatari kwa maisha yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

soda hii ni hatari kwa maisha yetu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mopaozi, Feb 12, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Soda hii nimeinunua jana kwa muuzaji wa jumla ilikuwamo katika kreti la soda ndani kuna kisoda ambacho inaonyesha kuwa mwywaji wa mwisho alikikunja na kukiweka ndani ya chupa na iliporudishwa kiwandani haikusafishwa kabla ya kujazwa soda nyingine hii ni hatari kumbe chupa hazioshwiiii maisha si salama tena cha kushangaza hadiinatoka kiwandani hakuna uhakiki wowote jamani ni hatariii!!tdfa mpoo na tbs mpooo!!!
   

  Attached Files:

 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Error zipop tu mama, hata kwenye noti ya Dollor huwa zinatokea! Sijui uoshaji wao uko vp, na uhakiki kabla ya kuruhusu chupa itumike ukoje; vyote kwa vyote error huwa zinatokea. Vp una mpango wa kuwawajibisha?
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Error kwenye maisha ya watuuuuu!!!!!b! Siwezi poteza muda kuwawajibisha mlolongo wake ni mrefu na pia rushwa itachukua mkondo wake tz ni zaidi ya unavyoijua!!
   
 4. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Wacha woga bi mkubwa unaushaidi buruta mahakamani hao dai fidia unaweza chota pesa ya ukweli hapo.
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Soda sijainywa madhara sijapata madai mahakamani inabidi niifungue ninywe niende hospitali ya serikali dr athibitishe kuwa nimedhurika kutokana na soda hii then kesi mahakamani itasukuma kama miaka miwili hv maana ubishani utakuwa mwingi then fidia yake milioni kumi tu wakati huo nahesabu masaa ya kuishi!!!
   
 6. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  TBS si lolote,ufisadi mtupu.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  This is not an error, it is called blunder...Error is when you can consume the product without any problem!

  This one you can not consume...refer the definitions of error, mistake and blunder
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Soda hii naitunza kama ukumbusho wangu baada ya kuacha kunywa soda rasmi.maisha yetu ya kibongo kuhifadhi vitu kwenye chupa then hazioshwi tunanyweshwa masumu kila siku no wonder kuna magonjwa ya ajabu ajabu tunapata cku hz!!
   
 9. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  afadhali hii ni kisoda....kuna mdau mwingine alishalalamika pia
  yakwake ilikuwa sprite na ndani ina condom (salama) ukitafuta
  post za nyuma utaipata
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Tatizo la ku-bypass systems za usalama ambayo ni tabia sugu ya waswahili. Nimeona kwenye viwanda kama 3 hivi vya soda,kuna sehemu mbili za kuangalia product. Chupa inapita sehemu yenye taa kali na kunatakiwa kama kuna lockage ya mwanga wa infrared itolewe kwa conveyor. Sasa ile system ikifa wanaweka mtu na stuli akodolee macho hapo masaa 12 kwa siku. Unategemea akienda toilet wasimamishe kazi? Na uzuri wetu waswahili customer complaint hatujui, ingekuwa wenzetu hiyo ni news na media wanaikomeshea. Hapa hata madaktari wagome na rais aende kula nchi hamna anaejali!
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mimi siku hizi nimeacha kuagiza Sprite.. Ilikuwa ninakaribia kumaliza kuinywa,ndipo nikasense kitu cha kuteleza mdomoni,cha kuteleza mithili ya mayai mabichi,au makamasi...

  Nilipoangalia kwa macho nikaona ni vitu vyeupe vinaelea... Nikamwaga hapohapo...
   
 12. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala huna haja ya kufanya hayo yote; we ichukue soda yako kama bado hujaifungua nenda nayo kiwandan kwao kamata meneja; mwambie akupe chako la sivyo wapanda kwny media
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,495
  Trophy Points: 280
  Mm ninayo soda ya fanta imejaa uchafu niliipiga picha nilipoinunua siku zinavyokwenda inazidi kuwa kama mlenda haijafunguliwa bado kama vipi tujipange twende tfda tukawasikie.
   
 14. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kwa mkasa uliokupata, Wewe si wa kwanza. Bahati nzuri hiyo haikua coca maana kingeyeyuka na ungeinywa! Naungana mkono na mdau mmoja aliyeshauri uende kiwandani nayo ili kikaeleweke. Aidha Chupa hizi hutumika pia kuchukulia sample za mikojo kupeleka maabara,na hata pia ni kipimio kizuri cha ile "NGUMU KUMESA". Nunua soda omba Mungu kunywa!! Tunakufa kwa meng!
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  ndo maana sonywi soda... Wala beer maana kipindi nipo chuo kuna soda nilikuta ina spongi, na niligundua nilipokunywa almost robo...
   
 16. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mdau,spongi ndo nini?
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wadau mnanitisha na vinywaji hivi.
  Duuh. Mbona kama ni hivi hali zetu za afya zi hatarini!
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Ukisikia spongi, ndo vono!!
  Siami uswahili ng'o, full of misamiati!!
   
 19. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mimi nilikuta kifuniko kimekunjwa kama cha mleta mada kwenye chupa ya pepsi na kilikuwa na kutu sana,
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimeongea na mwanasheria hapa ananambia kwa tz hatuna sheria zinazobana ndo mana watu wako wazembe hii ulaya ni ishu nene tena kiwanda chaweza fungiwa na kuamriwa kikaguliwe.anadai nikienda kwa mgr atanipa soda nyingine moja tu basi!je wataalamu wa sheria mnashaurije!
   
Loading...