Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende...
Lawyers profession
like another
as old as itself
as dirty
but even less honest.
By god.!
one sells body
another brain
one forced to do so
another chooses to do so
Damn it !
both...
Wakubwa shikamo, wadogo habari zenu !
Nilikuwa naomba kufahamishwa hivi kama umeolewa ndoa ya kiislam kutokana na sababu zisizo zuirika inabidi kutengana , taratibu gani zinabidi kufuatwa ...
Ukiachilia mbali Sheria ya Mirathi ya Kiislamu, katika Tanzania Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Sheria ya Mirathi ya Kimila hutumika pale ambapo marehemu aliishi kwa kufuata mila na desturi za...
RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla amesema msimamo wa kufikisha serikali mahakamani kutokana na kuvunja sheria za nchi, upo palepale.
Akizungumza ofisini kwake jana...
Mkazi mkoani Singida ametupwa jela miaka 30 na faini ya sh milioni 10 kwa kukutwa na na bunduki akidaiwa kujiandaa kufanya ujangili kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarangile, wilayani Babati:rockon:
Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
Mahakama imeuchambua ushahidihuo na kuona kuna mashahidi ambao ni viongozi wa BAKWATA walitoa ushahidiulioonyesha kuwa kiwanja cha Chang'ombe Markas zamani kilikuwa ni mali ya BAKWATAlakini...
Nikiwa kama MTANZANIA mpenda haki na amani napenda kujua hatma ya shekh/kiongozi wangu Ponda Issa ponda, kwakua niko mbali na maeneo husika. Yeyeto aliye pata kuwepo/kusikia hatim ya shekh Ponda...
Majuzi nilishangaa kuona wenzetu wa visiwani wakipewa vitambulisho vipya vya uraia wakiwamo rais wa huko Dr. Shein, ili hali wanavyo tayari vya kwao-Kitambulisho cha mkazi Z'bar.Nilitegemea kuwa...
Wandugu naombeni msaada wenu kuna ndugu yangu alifunguliwa mastaka yakurusha pesa kesi ikaenda mahakamani tumepigwa tarehe kama mara tatu yane tukaambiwa uko huru hakuna kesi hapo leo hii huyo...
wanabodi heshima mbele.
Naomba msaada wa mawazo katika tatizo langu la kiwanja.
Mimi nafanya kazi mkoani ila nina kiwanja mjini dsm. baada ya kupata uhamisho wa kikazi niliamua kununua kiwanja...
Habari zenu waungwana,
Ningali niko nje ya nchi ila ningalipenda kujua kiendeleacho juu ya mauaji ya wamasai walio na ardhi kisha wakafilisiwa na TBL kisha TBL wakasimama kama wamiliki wa ardhi...
Wakuu,
Ndani ya JF tunanufaika na elimu nyingi ili kutuweka sawa Watanzania na kuishi kwa kujiamini pasi na kuvunja sheria,imekuwa ni jambo la kawaida ndani ya nchi yetu wananchi kunyanyasika sana...
Naomba kujua kuwa sheria inanisaidia vipi kama mtumishi wa serikali, mimi ni mtumishi katika halmashauri mojawapo ila matatizo niliyo kutana nayo huku ni kuwa watumishi wengi wanalalamika kuhusu...
nilimwekea mdhamana mdogo wangu mtoto wa mama mdogo aliyekuwa anakabibiliwa na kesi ya madai ya kampuni ya airtel aliyoisababishia hasara ya tsh laki nane baada yapo jamaa katoloka na nimeambiwa...
Tumo katika nchi inayofuata sheria. nchi yoyote ile lazima iongozwe kwa kufuata sheria. TCRA ni chombo kinacho simamia vyombo vya habari vya kielektroniki hasa redio na televisheni. kina mamlaka...
Leo nimetoa pesa NMB ATM mashine imehesabu lakini haikutoa pesa na risiti imeonesha pesa zimetoka nimeenda kwa customer care wao akaniambia watanirudishia lakuni hadi leo haijsrudi hiyo pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.