Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

KESI YA UAMSHO Jaji Mwampashi alisema sheria iliyotumiwa na DPP kufunga dhamana ya watuhumiwa ambayo ni Ibara ya 19(1)(2) inampa uwezo wa kumuagiza ofisa wa polisi peke yake, si mahakama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA UFUPI Wengine ni Koplo Rajabu Nkumkwa (46), Koplo Kawanani Hamphrey (34) pamoja na Koplo Kelvin Mohamed (44). Kongora alidai kuwa Desemba 18, 2012 katika eneo la Kariakoo Wilaya ya Ilala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchungaji Jean Felix wa kanisa la assembles of God apandishwa kizimbani Moshi, kwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza watu nje ya nchi, ambapo alifanya jaribio la kuwatorosha watoto wawili...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
John is the lawyer's son but john's father is a banker.who is a lawyer?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limemkamata mtu mmoja akiwa anauza CD/VCD/DVD za uchochezi wa kidini. Polisi mkoani humo wamesema walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu mtu huyo kujihusisha...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
HALI HALISI YA MAUAJI YA HASSAN MGALULA: Askari Polisi hao wakati wakimchukua kwenye usafiri wa Bajaji ya mizigo huku wakiwa wamemkanyaga bila kujali hali mahututi aliyokuwanayo marehemu Hassan...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Sina uhakika ka watoa ajira serikalini wanafahamu vyema kuhusu hii kitu nchini…PPP (Public Private Partnership) kuna hiki ‘kiini macho ka si kiini yai’ inasemekana kipo hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkuu wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam,Kamanda SULEMAN KOVA,amesema kwamba Jeshi la Polisi limewafukuza Askari Polisi Watano waliohusika na Wizi wa pesa zaidi ya shilingi Ml,150 walizoiba...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Salalmu kwenu wana jamvi, Naomba msaad wa mfano wa mkataba wa upangishaji nyumba,nina uhitaji sana naomba mnisaidie. Thanx in advance.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kama Clouds Fm imeruhusiwa kukata Rufaa,kuna lipi linalopelekea redio imaan kunyimwa fursa hiyo? Ni mambo ya ajabu eti redio imaan imefungiwa kwa kisa cha kushawish watu kugomea sensa,kwani...
5 Reactions
120 Replies
13K Views
Sheikh Ponda Issa Ponda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeambiwa na Shahidi wa 21, Salma Abdulraatifu (34), katika kesi inayowakabili Sheikh Ponda Issa Ponda (54) na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ilianza kutumia/kutekeleza sheria za kazi (labor laws) mwaka gani?
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Familia yetu inawatoto watatu ambao tunatambulika na ukoo kutokana na utambulisho wa kimila(wachaga),Baba yetu mzazi ameshafariki mwaka 2007 na ametuacha na mama wa kambo ambaye alifunganae ndoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa abiria kwenye basi lililopata ajali Mikumi, Morogoro, 2011. Nilipata majeraha makubwa na kulazwa hospitali kwa miaka miwili-na bado nipo hospitali. Wakati ndugu wanafuatilia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamii wenzagu mimi ninahitaji ushauri katika hili Kata yangu toka mimi nimezaliwa nimesimiliwa mpaka nimekuwa mkubwa sasa ninaona kwa macho yangu mwenyewe watu wanavyo jichotea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya leo waungwana, Tafadhali ningependa kujua hivi ni kwa nini serikali kama serikali isiwe na vituo maalum ambavyo vingesambazwa mpaka vijijini,vitongojini,mijini na hata baadhi ya mitaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi wa kidini. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu hao...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii forum,naomba msaada wa vitabu gani vizuri vya sheria, majina ya waandishi wa vitabu,maduka gani vinapatikana na katika mikoa ipi katika kozi zote za sheria kuanzia ngazi ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salamu wana JF. Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria anazotakiwa kufuata mwalimu ili kuhamia mkoa mwingine. Maana inavyoonekana sasa hivi mpaka bosi wako kwenye halmashauri apende...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MPANGO wa kuwabadilishia hati ya mashtaka viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam Zanzibar (Jumiki) umekwama baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la upande wa mashtaka katika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom