Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
“A Pillar of Fairness and Trust” Introduction During the swearing-in ceremony for newly appointed government officials, President Hon. Samia Suluhu Hassan emphasized the significant...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba...
0 Reactions
4 Replies
658 Views
Mnamo tarehe 26 Juni 2024, Mwanasheria Mkuu aliwasilisha mswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali Na. 2 ya 2024, ambao umefanya marekebisho kadhaa ya sheria, lakini kinachovutia zaidi kwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikiona hili neno hasa kwa wale wanao chukua degree katika sheria..likiwa ni jina na kitivo chao. Swali langu ni juu ya kirefu cha LLB, na origin ya neno hilo. Naomba msaada.
2 Reactions
199 Replies
24K Views
Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI...
4 Reactions
2 Replies
946 Views
Habari za humu ndani wakuu? Hope you are good. Wataalamu nina tatizo ambalo nahitaji ushauri au mtu yoyote mwenye uelewa hili suala tunaweza kulisolve vipi. Ipo hivi.. Kuna mtu nilifanya naye...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia...
3 Reactions
5 Replies
777 Views
Habari zetu wote? Ni utaratibu upi wa kufuata ukitaka kumpeleka mtu mahakamani (kumshtaki)? Ni lazima uanzie kituo cha polisi au? Msaada tafadhali
2 Reactions
11 Replies
767 Views
Habari waungwana, Kuna jamaa yangu fulani anatuhumiwa kutenda kosa la kumshambulia mtu ambaye ambaye walizozana kidogo. Shida imekuja kuwa anaendelea kushikiliwa kituo cha Polisi huku suala la...
0 Reactions
4 Replies
797 Views
“A CALL TO ACTION FOR TAX DISPUTE RESOLUTION” President Samia Suluhu Hassan has been steadfast in her commitment to economic growth and stability for Tanzania. During a recent event in Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [Updated Thread, 2024] [Prepared and posted on Facebook by Mr George Francis In 2021 & Posted On JamiiForums in 2022, now it's reposted here in...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunahitaji kucertify documents Pia tunahitaji Body resolution na Partnership bid Mawasiliano yetu 0687746471
1 Reactions
10 Replies
485 Views
Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General...
4 Reactions
6 Replies
746 Views
Habari wakuu vipi wazima? Mimi mzima nina swali naomba nikuulize. Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu...
0 Reactions
3 Replies
578 Views
BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Hellow Learned brothers and sisters. Naomba mnifahamishe maana ya kukazia hukumu kisheria , nimekuwa nikilisikia hili neno Mara kwa mara lakini sijui maana yake. Katika kesi za madai...
2 Reactions
19 Replies
20K Views
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni baada ya kuambiwa mumewe wakati anaenda kazini kwamba akirudi asimkute hapo nyumbani, na kama akimkuta, atamtoa hapo...
53 Reactions
289 Replies
99K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom