Siku za kifungo Jela zinahesabikaje?

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,377
1,517
Wanasheria nauliza siku za kifungo huko Jela huwa zinahesabiwaje..Je ni kwa mfumo wa 24hr per day au day and night inajitegemea.

Niliwahi kusikia sehemu fulani kuwa MTU kwamfano akihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela inamaanisha atakaa jela miaka 15 tu.

Karibuni kwa ufafanuzi
 
Siku moja ni masaa 12

So siku 2 masaa 24


Ila dah kwa kweli nchi hii imeliwa sana yaani.
 
Back
Top Bottom