Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Huu ndio utaratibu kwa kumchukua (kamata) mwanajeshi wa JWTZ ambaye anashikiliwa kwenye mahabusu ya Kijeshi iliyo ndani ya Kambi ya Jeshi na kumleta kwenye mahabusu ya muda (temporary custody) ya...
5 Reactions
6 Replies
974 Views
Kimsingi Mahakama ndiyo chombo pekee na cha mwisho cha utoaji haki katika Jamhuri ya Muugano wa Tanzania kama ilinavyoainishwa katika Ibara ya 107 (A) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
0 Replies
821 Views
Mimi ni Mtanzania mwezenu, nimeandika na kuweka katika jukwaa hili ili niweze kujengewa uwezo na ushauri na yeyote atakayeguswa na habari yangu; kama kuna sehemu haitaeleweka nipo kwa ajili ya...
33 Reactions
225 Replies
12K Views
48 Laws of Power LAW 1 NEVER OUTSHINE THE MASTER JUDGMENT Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please and impress them, do not go too far in displaying your...
4 Reactions
2 Replies
832 Views
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA...
0 Reactions
7 Replies
720 Views
Habari waungwana. Nimekuja hapa nikiwa na swali moja Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI Ila Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI. Cheti...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya...
11 Reactions
143 Replies
4K Views
MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
SHERIA INAKATAZA KUOA AU KUOLEWA NA X WA BABA AU MAMA YAKO. Bashir Yakub,WAKILI +255714047241. Kifungu cha 14 Sheria ya Ndoa kinakataza kumuoa au kuolewa na mtu yeyote aliyewahi kuwa mke au mme...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
2 Reactions
2 Replies
578 Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 29 nilikuwa naomba kueleweshwa katika hili mnamo tareh 13 nilipatwa na tatizo ila katika tatizo nilikuwa kazin na yule alikuwa mteja mie sikuingia kazini maana...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
The Imperative of Timely Responses to 90-Day Notices and Swift Compliance with Court Decrees Introduction In Tanzania, the legal framework governing civil proceedings against the government is...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Habari wana jamvi, naomba ufafanuzi wa kisheria kwa jambo hili. Bwana X aliomba mkopo wa benk kwa dhamana ya nyumba ambayo ilikuwepo eneo ambalo halijapimwa na viongozi wa mtaa wakadhibitisha hati...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza...
2 Reactions
6 Replies
462 Views
Wana Bodi, Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria. Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa...
2 Reactions
0 Replies
370 Views
Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo...
1 Reactions
3 Replies
708 Views
KURUDISHA ZAWADI. Kifungu cha 71 cha Sheria ya ndoa kinasema kuwa mtu anayo haki ya kufungua shauri kudai kurejeshewa zawadi ambazo alizitoa kwa mtu ambaye alikuwa ana ahadi ya kufunga naye ndoa...
4 Reactions
7 Replies
678 Views
Ikiwa Mtu ametoa tuhuma zinazohusu mtu au chama fulani, lakini kwenye tuhuma hizo akaandika jina ambalo sio sahihi. Je, Mtu huyo anaweza kushtakiwa na wahusika ambao kiuhalisia sio waliotajwa...
2 Reactions
1 Replies
386 Views
Back
Top Bottom