Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right...
Ukifuatilia Post Za Watu Wengi Waliouliza Maswali Utakuta Hazina Majibu Kabisa Na Hata Zile Zenye Majibu Hazikujibiwa Kitaaluma Ya Kisheria,yaani Zimejibiwa Kama Na Mtu Tu Asiyesomea Sheria...
Nimewapangisha kampuni ya simu kwenye kiwanja changu wajenge mnara wa simu.... Kinachoniumiza ni jinsi walivyonikandamiza kwenye masharti ya mkataba... Walifuta kipengele cha ku'renew mkataba kila...
Ndugu wana jukwaa,
Nahitaji msaada wa kisheria kwa hatua za kufuata baada ya mama yangu kuzungushwa na kulipwa kidogo.
Kwa mujibu wa maelezo yake anatakiwa kulipwa 470,000 kila baada ya miezi...
Ndugu Wana jukwaa nahitaji Masada wa kisheria kwa hatua za kufuata baada ya mamaangu kuzungushwa na kulipwa kidogo.. Kwa mijibu wa maelezo yake anatakiwa kulipwa 470,000 kila baada ya miezi...
jamani wana jf ,nisaidieni mwaka jana tulivunjiwa vibanda vyetu huku maeneo ya tegeta wazo (nakalekwa) hakukuwa na taarifa yeyote juu ya uvunjwaji huo .walikuja watu wa msalaba mwekundu kutusaidia...
Sina uhakika vizuri kama ndoa hii ni aina mojawapo ya ndoa zinazotambulika kisheria, aina ninazozikumbuka ni ndoa za jadi, dini na serikali.
Kwa wenye weledi please naomba msaada wenu
Habari zenu.
Kuna hizi habari zimezagaa mitaani kuwa wapenzi wawili wa jinsia tofauti ambao hawajaoana rasmi (Yaani kuozeshwa rasmi na taasisi ya serikali au ya kidini inayotambuliwa na serikali)...
Msaada wa kesheria, sheria ipi inamhukumu mtu anayenunua ngono.Je kumhonga mwanamke kwa nia ya kufanya naye mapenzi ni sawa na kununua ngono? Mwisho polisi watawasilisha ushahidi upi mtuhumiwa...
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je akukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe?
Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema naomba ushauri nimepanga chumba mwenye nyumba anaishi hapo hapo ila yeye ana nyumba yake tofauti na wapangaji na na anajitegemee luku yake na wapangaji wana...
Imezoeleka kwamba kisheria iwapo mwanaume atatembea kimapenzi na mwanafunzi wa kike haijalishi awe ni Mwalimu au raia kawaida sheria hufuata mkondo wake, mwaka juzi nikasikia habari ya mwanafunzi...
Hii ni story ya kweli kuhusu jinsi ya kupata hizi leseni mpya za kundesha gari. Old wine in a new bottle.
Tanzanian authorities have introduced a new machine-readable driving licence to crack...
Hivi hakimu aliyesikiliza kesi na akaitolea maamuzi je baada ya kustaafu anaweza kuwa advocate kutetea upande mwingine ktk kesi hiyo endapo huo upande utafungua shauri la madai katika mahakama...
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.
Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.
Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1...
Naomba kujua kama kuna sheria inayoruhusu debt collection ya deni la nje ya nchi kufuatia hukumu ya mahakama ya nje kutibitisha deni na kama ikiwa mdaiwa ni raia wa Tanzania na ana mali Tanzania.