simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Msaada wa kesheria, sheria ipi inamhukumu mtu anayenunua ngono.Je kumhonga mwanamke kwa nia ya kufanya naye mapenzi ni sawa na kununua ngono? Mwisho polisi watawasilisha ushahidi upi mtuhumiwa amenunua au anayo nia ya kununua uroda beyond reasonable doubt?