Msaada wa kisheria kuhusu malipo ya mstaafu jeshi

Mwimbe CL

Senior Member
Aug 22, 2013
147
96
Ndugu Wana jukwaa nahitaji Masada wa kisheria kwa hatua za kufuata baada ya mamaangu kuzungushwa na kulipwa kidogo.. Kwa mijibu wa maelezo yake anatakiwa kulipwa 470,000 kila baada ya miezi mitatu.. Lakini kila miezi mitatu ikifika inaingia Mara 100,000 Mara nyingine 150,000 na Kuna kipindi hawakuingiza chochote kwa miezi 6 akafatilia akaambiwa ahakiki taarifa zake pesa zitaingia., lakini baada ya kuhakiki hazina wakamwambia pesa imeingia akaenda bank akaambiwa imeingia lakini haija Open... Hivyo hawezi kuitoa kila akienda anajibiwa hivyo... Naombeni Masada wa hatua zipi azifuate ili alipwe stahik zake zimsaidie kujikimu kimaisha natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom