Kumfukuza mfanyakazi bila barua hii Nihaki?

youngashley

Senior Member
Apr 26, 2013
187
52
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je akukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe?
 
Mechanica wenye miaka minne leo unampunguza kazini na kumrejesha nyumbani bila, mafao wala malipo yoyote hata barua je a kukaa siku Tatu bila kudhuria kazini huyu atakuwa kupunguzwa au kaacha mwenyewe,????
Kwa sheria za nchi ya TZ kwa sasa usipokuja kazini ndani ya siku tano mfululizo utakuwa umejiachisha kazi, yani umefikia kiwango cha kufukuzwa kazi.Ila tofauti na hapo unapewa onyo.
 
Wanatakiwa wapewe onyo tu, ila kama tayari wana onyo kama hilo zaidi ya mara tatu ndani ya miezi sita watakuwa wamejifukuza wenyewe
Mkuu golden pride una maana gani unaposema Ndani ya Miezi 6?
Una maana Onyo baada ya Miezi 6 linafutika?
Hawaweki kwenye file lako tena?
Na hiyo ni sheria au ni nini?
 
Wanatakiwa wapewe onyo tu, ila kama tayari wana onyo kama hilo zaidi ya mara tatu ndani ya miezi sita watakuwa wamejifukuza wenyewe
Huyu mfanyakazi kapumzishwa na kampuni bila yeye kuwa namakosa yoyote??? Vipi apewe oyoo???
 
Mkuu golden pride una maana gani unaposema Ndani ya Miezi 6?
Una maana Onyo baada ya Miezi 6 linafutika?
Hawaweki kwenye file lako tena?
Na hiyo ni sheria au ni nini?
Onyo linafutika ndani ya miezi sita kama halitojirudia tena.Wanaweka kwenye file kwa kumbukumbu
 
Kwa sheria za nchi ya TZ kwa sasa usipokuja kazini ndani ya siku tano mfululizo utakuwa umejiachisha kazi, yani umefikia kiwango cha kufukuzwa kazi.Ila tofauti na hapo unapewa onyo.
ningeomba unitajie iko kipengere cha sheria maana sheria zote zina vifungu vyake
 
Back
Top Bottom