MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 330
- 210
Nimewapangisha kampuni ya simu kwenye kiwanja changu wajenge mnara wa simu.... Kinachoniumiza ni jinsi walivyonikandamiza kwenye masharti ya mkataba... Walifuta kipengele cha ku'renew mkataba kila baada ya miaka mitatu wakaandika kwa mkono miaka ishirini kwa malipo ya milion 3 kwa mwaka. Je nawezaje kuwabana kuurejea mkataba? Kuna yeyote mwenye mkataba wa kupangisha mnara nijionee vipengele vinavyopaswa kuwa? Natanguliza shukurani!