Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

HABARI ZA JUMAMOSI Nilikuwa naomba msaada wa term hizi mbili za kisheria SUBSTANTIVE LAW na PROCEDURAL LAW lakini naomba maelezo yake kwa kiswahili na mifano ikibidi asante
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Watanzania tumekuwa tunakabiliwa na matatizo mengi kimaisha, kimwili na kisheria lakini ya kisheria tunashindwa kujua kama ni sehemu ya kazi zenu hebu mtujuze kazi zenu.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
*Kutana na Dola Indidis,* mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ieleweke nalaani vikali kitendo cha yule mwalimu kutumia nguvu ya ziada kumwadhibu mwanafunzi. Ila naomba kujua je kwa sheria za Tanzania, ushahidi wa video unakubalika?! Niki-refer hukumu ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu katika jukwaa hili. Hali ya uchumi imekuwa ngumu mno, dhamana za magari,nyumba n.k zinapigw minada sehemu nyingi. Sasa basi, kuna dogo ametumia hati ya mauziano ya kiwanja...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kutokana na ushahidi wa video clips zilizoenea, walimu waliompga yule mwanafunzi watapata nafasi ya kujitetea? Msaada wenu kw hilo.
1 Reactions
4 Replies
741 Views
Habar wana JF, Naomben kupata msaada wa Tz-Copyright act 1999 yenye peji chache, Nimejaribu kudownload lakin ninayoipata ina peji 109 yani imetoka vbaya maandishi yameachana sana kupelekea kuwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzamiaji aliyeingia nchini bila kibali hukumu yake ni nini?je anapigwa faini na kuachiwa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukomo wa kufungua shauri la ardhi katika mahakama Thursday, 09 December 2010 21:59 KATIKA kuhakikisha inatekeleza haki za walalamikaji kwa wakati na...
4 Reactions
8 Replies
9K Views
HAKI YA KIFO Wanajamvi salamu! Huwenda mmekuwa mkisikia haki mbalimbali za binadamu mpaka haki ya ushoga lakini hamjawahi kusikia haki ya kufa. Naamu "right to die" ni haki ya binadamu ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kulileta kwenu,ni hivi Mzee wangu (Marehemu) alikuwa na Shamba ekari 50,kati ya hizo ekari 20 zimevamiwa,tulifungua kesi kijijini lakini kijiji hakitukupa ushirikiano hivyo tukaenda Baraza...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Salam kwenu. Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, ningependa kupata maoni, ushauri n.k pale inapotokea mtumishi wa umma (Serikali - Tanzania) anapopata kazi katika mashirika ya kimataifa kama UN...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wasomi, Ninajamaa yangu anataabika sana baada ya kuamua kuuza nyumba yake akasome kuna mbunge mmoja wa chama tawala alimwambia atainunua wakakubaliana bei 30mln,mbunge akaomba namba ya...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
wakuu utaratibu unakuwaje kwa mjamzito aliyeajiriwa serikalini akiwa anakaribia kujifungua, nazungumzia haki yake ya mapumziko
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Habari! napenda kujua wanasheria kuhusu mkataba wa kazi, hivi kunasheria inasema kama mwajiri wako ajakupa mkataba mpya na bado unafanya kazi na anakutambua na anakulipa mshahara kila mwisho wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ndugu wanajamvi naomba utaratibu wa kufuatilia mirathi kuanzia mwanzo kabisa na jee kina kikomo cha kufungua mirathi mfano baada ya miaka kadhaa kama 10 .sasa je kuna mda maalum wa kufungua...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Nilikutana na rafiki yangu mkoani mwezi wa 7 akaniambia anauza gari yake ambayo naifahamu sana coz alisema amepata tatizo, nikamwambia aniuzie mimi, Coz nilikuwa naifahamu nikamwambia mimi bado...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
kipindi cha zile karatasi tulizo zoea kuziita notification kulikuwa na sehemu mbili tofauti za kutia saini ama kukubali kosa ambapo unalipa papo halpo ama kukataa kosa ili shauri liende mahakamani...
2 Reactions
0 Replies
742 Views
Wakuu naomba kujuza. kume kuwa na kawaida kwa waajiri kupuuzia summos wanazopewa kuhudhulia usuruhishi CMA hivi sheria inasemaje kwenye hili naomba kujuzwa.
0 Reactions
11 Replies
47K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…