Msaada wa kisheria kuhusu mikopo ya benki.

KIBUKUSA

Member
Dec 13, 2013
84
29
Naomba msaada wenu katika jukwaa hili. Hali ya uchumi imekuwa ngumu mno, dhamana za magari,nyumba n.k zinapigw minada sehemu nyingi. Sasa basi, kuna dogo ametumia hati ya mauziano ya kiwanja kukopa benki X na hati ya nyumba benki Y. Baada ya muda benki X yenye hati ya mauziano ya kiwanja imeuza nyumba. Lakini aliyenunua kiwanja hakuwekwa wazi. Baada ya kununua ameombwa arudishie hela zake na mwenyewe ameonyesha kutokukubali. Afanyeje huyu dogo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom