Habar wana JF,
Naomben kupata msaada wa Tz-Copyright act 1999 yenye peji chache, Nimejaribu kudownload lakin ninayoipata ina peji 109 yani imetoka vbaya maandishi yameachana sana kupelekea kuwa na peji nyingi.
Nilimaliza kufikiria siku hiyo hiyo hadi nikakusahau.
Halafu siku nyingine uwe mjanja bwana.
Ukitaka sheria za Intellectual Property, tembelea taasisi za kimataifa zilizotengeneza mkataba mama.
Kama hapa tungesema hata ungetembelea mitandao kama WIPO, UN, WTO, etc
Haya sheria hiyo hapo chini, usilie tena bwana mdogo.
Usome sana baba, maisha magumu eeeh!
Kuna kingine naweza kukusaidia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.