Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habar wana JF,
Naomben kupata msaada wa Tz-Copyright act 1999 yenye peji chache, Nimejaribu kudownload lakin ninayoipata ina peji 109 yani imetoka vbaya maandishi yameachana sana kupelekea kuwa na...
Ukomo wa kufungua shauri la ardhi katika mahakama
Thursday, 09 December 2010 21:59
KATIKA kuhakikisha inatekeleza haki za walalamikaji kwa wakati na...
HAKI YA KIFO
Wanajamvi salamu!
Huwenda mmekuwa mkisikia haki mbalimbali za binadamu mpaka haki ya ushoga lakini hamjawahi kusikia haki ya kufa. Naamu "right to die" ni haki ya binadamu ambayo...
Naomba kulileta kwenu,ni hivi Mzee wangu (Marehemu) alikuwa na Shamba ekari 50,kati ya hizo ekari 20 zimevamiwa,tulifungua kesi kijijini lakini kijiji hakitukupa ushirikiano hivyo tukaenda Baraza...
Salam kwenu.
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza, ningependa kupata maoni, ushauri n.k pale inapotokea mtumishi wa umma (Serikali - Tanzania) anapopata kazi katika mashirika ya kimataifa kama UN...
Habarini wasomi,
Ninajamaa yangu anataabika sana baada ya kuamua kuuza nyumba yake akasome kuna mbunge mmoja wa chama tawala alimwambia atainunua wakakubaliana bei 30mln,mbunge akaomba namba ya...
Habari! napenda kujua wanasheria kuhusu mkataba wa kazi, hivi kunasheria inasema kama mwajiri wako ajakupa mkataba mpya na bado unafanya kazi na anakutambua na anakulipa mshahara kila mwisho wa...
ndugu wanajamvi naomba utaratibu wa kufuatilia mirathi kuanzia mwanzo kabisa
na jee kina kikomo cha kufungua mirathi mfano baada ya miaka kadhaa kama 10 .sasa je kuna mda maalum wa kufungua...
Nilikutana na rafiki yangu mkoani mwezi wa 7 akaniambia anauza gari yake ambayo naifahamu sana coz alisema amepata tatizo, nikamwambia aniuzie mimi,
Coz nilikuwa naifahamu nikamwambia mimi bado...
kipindi cha zile karatasi tulizo zoea kuziita notification kulikuwa na sehemu mbili tofauti za kutia saini ama kukubali kosa ambapo unalipa papo halpo ama kukataa kosa ili shauri liende mahakamani...
Wakuu naomba kujuza. kume kuwa na kawaida kwa waajiri kupuuzia summos wanazopewa kuhudhulia usuruhishi CMA hivi sheria inasemaje kwenye hili naomba kujuzwa.
Mdogo wangu aliachwa na mkewe mwaka mmoja uliopita.Katika hali isiyokuwa ya kawaida akamuandikia barua kuwa hamtaki tena na akamkabidhi barua hiyo mbele ya mtendaji.
Agosti 2016 akaenda mahakamani...
Kuna issue naombeni msaada, case inapo Isha hakimu anasema rufaa ipo wazi kwa ambae hajalidhika na maamuzi, sa mfano inatokea judgment holder akakata rufaa na judgment debtor akakata rufaa at the...
Wana J-f
Poleni na majukumu,nina mdogo wangu wa kike alipata ajali na kukatwa mguu mmoja juu ya goti.Ajali ni kwamba alikuwa kituo cha daladala gari la mtu binafsi likapoteza muelekeo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.