Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wapendwa katika Bwana hamjambo?
Nawasilisha hoja yangu kwenu nikitafuta msaada,
Hawa Bodi ya Mikopo wamekuwa wakifanya makato kwenye mshahara wangu kwa muda mrefu sasa wakati sikuwahi kusoma...
Wajamani mtoto wangu alifanya interview ya kujiunga na hii kozi ,
mwenye kujua waliochaguliwa kujiunga nayo watujuze maana muda unaenda na hatujaweza kuandaa hata huo mkopo maana hatuna majibu,
Hamjambo.
Mimi ni mstaafu na ninataka kupata "resident permit" kwa mara ya pili (renew) lakini ninalazimishwa kupata barua ya sheha.
Ninataka kujua kujua sheria gani sheha anaweza kukataa...
Kumekuwepo na kesi nyingi dhidi ya serikali ktk mahakama/tume za usuluhishi watumishi wakidai kufukuzwa kazi kwa uonevu na hivyo kuhitaji wakulipwa fidia na stahili zao kwa uonevu na...
Mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya serikali ameshangaa kukuta kwenye risiti ya mshahara makato ya CWT CONTRIBUTION wakati hajawahi kuomba wala kujiunga na chama hicho. Kuna sheria ya...
Wadau,
Hivi sheria zinasemaje katika hili. Wafanyakazi wa umma wameajiriwa na serikali, na serikali hiyo hiyo ndo inasema baadhi ni hewa, sasa kwanini gharama za kwenda kuhakikiwa wanazotumia...
Hivi kwa mfano mh. mkuu wa wilaya akatoa amri ya mimi kukamatwa, na nikakamatwa nikawekwa ndani kwa zaidi ya masaa 48, hivi ni sahihi kwa yeye kuniweka masaa yote hayo? na kama sio sahihi naomba...
Wadau habarini za mchana naomba kupata sheria inayozungumzia kupewa barua ya majukumu ya kazi pale unapoteuliwa kusimamia majukumu flani kwa mfano umeteuliwa kuwa mtaaluma mana nasikia ni lazima...
Naombeni ushauri mimi nilichukua pesa laki nane tu kwa ajili ya biashara, ya chips ila haikunilipa mtaji ulikata wote, ingawa nilikuwa na familia ya watoto watatu, na mke mmoja nime teseka Kwa...
Habari zenu Wanajamii,
Naomba msaada wenu kwa mwenye kujua/kutambua baadhi ya vipengele katika salary slip.
Vipengele hivyo ni;
1. Total Company Contributions
2. Total Deductions
Haswa hii...
Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba...
Salaam wanajukwaa..
Naomba msaada wenu kisheria wakuu...nitaeleza kwa kifupi kidogo ili nisiwachoshe.
Kuna boss wangu (Indian) aliniajiri yapata mwaka mmoja na miezi saba sasa...lakini wiki...
Mimi nimepanga chumba cha biashara cha duka nililipa mwaka mkataba wangu unaisha mwez wa kumi na mbili tarehe 31 lakin juz kulitokea ajali chumba kikashika moto duka likaungua sasa leo mwenye...
Habari wanasheri wa jamvi hili.
Naomba ushauri wa kisheria juu ya tatizo langu,ni hivi,mimi nina gari yangu ndogo ambayo nilimpa kijana kwa ajiri ya kufanyia biashara maeneo ya kimara kwa lengo la...
Nimekaa kutafkari kwa kina sana kuhusu watu kufungwa kwa kesi zisizo halali, nimegundua kuwa huwa watetewa na wanasheria wasio na uelewa wa sheria ni nini na nini ni sheria.
Kwa wanasheria wa...
Nilifanya kazi katika taasisi moja ya serikali kwa Mara ya kwanza nilipewa mkataba wa miezi mitatu, baada ya kuisha nikaongezwa miezi sita.
Hali iliendelea hivyo kila baada ya miezi sita...
Hey, habari zenu wanaJF? Jina langu ni Gabriel, nipo Dar, na nafanya kazi kwa shirika la kienyeji, na tunatengeneza mradi wa kuwatetea mahabusu na wafungwa wa kike, hasa hasa wanawake wajawazito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.