Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nina ndugu yangu anafanya kazi kampuni Fulani sasa ,chakushangaza HRM wa hiyo kampuni ,kawaambia walinzi asiingie ndani,pia kazuia mshahara wake wa miezi miwili na kikubwa zaidi computer yake...
niwasalimu wote
kumekuwepo na dharau kashfa na kejeli dhidi ya wanasheria/waendesha mashtaka wa serikali kana kwamba hawana mchango wowote katika ujenzi wa taifa.
je, tunawatendea haki ?
Mada tajwa hapo juu yahusika:
a)Hivi kuna sheria au tangazo la serikali iliyoanzisha/lililoanzisha hiki kitu?
b)Kama hipo ni ya/la mwaka gani
Maswali mengine yatategemea na ujibwaji wa maswali...
Naomba nieleweshwe hapo kdogo maana toka ninakua ninaona na kusikia mbio za mwenge tz na zinatumia gharama nyingi sana za kodi ya wananchi huku faida ikiwa ni kuzindua miradi na viongozi nao...
Mimi ni marketing officer kutoka Unilever courier- nafanya shughuli ya kudeliver parcel au document- kwa sh.5000/= elfu tano tu.nina bima katika service yangu ikitokea document imepotea una be...
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu na wenzao zaidi ya 50 wapo gereza ni Segerea Dar es salaam kwa zaidi ya miaka mitatu . Ni sheria ipi inatumika kuwaweka watanzania gerezani...
Kila Rais anaamua kadiri ya utashi wake juu ya kutekeleza hukumu ya kifo. wale wa Nyerere walifahamika: Mwamwindi, yule aliyemuua mkuu wa mkoa Dr. Kleruu na Mbongo mwenye asili ya Kihindi...
Habari wana JF!
Jana (10/10/2016) nilinunua vocha kwa wakala wa Maxmalipo kiasi cha sh. 12000
Nilipata risit ya max malipo lakini kwenye line yangu sijaingiziwa vocha hiyo. Nimemueleza wakala...
Nimechoka kuishi kama digidigi ktk nchi yangu mwenyewe. Siku zote TRA walikuwa wapi kutoa elimu juu ya road licence? Kwa nn mnakamata gari lililo na vibali vyote ili kulipia gari ambalo...
Naomba wabobezi wa masuala ya sheria munisaidie mifano ya 'Tort of continuing offence cases'
Nitafshukuru sana kwa msaada wowote wa kuniwezesha kupata mifano ya kesi hizo.
Naomba kujulishwa kama ushahidi wa kimazingira(circumstantial evidence) unaweza kutumika mahakamani kumtia mtu hatiani.
Pamoja na hayo maelezo(kama yatapatikana) naomba pia kutajiwa kesi mojawapo...
As part of training in mastering provisions of a specific service which require specific skills and capabilities many training institutions subject their students under special field trainings to...
Habarini wadai,
Niwazi mtu anayefukuzwa kazi ni vigumu kupata ajira nyingine kwa kigezo cha umri lakini mtu anayeachakazi mwenyewe mara nyingu huwa amepata sehemu nyingine,sasa kwanini...
habari wana jf bila shaka muwazima wa afya,
naomba kufahamishwa sheria inasemaje iwapo mzazi aliomba uraia wkt alishazaa hlf akapatiwa uraia kuna haja ya kumuombea na mtoto uraia au mtoto tayari...
HABARI ZA JUMAMOSI
Nilikuwa naomba msaada wa term hizi mbili za kisheria SUBSTANTIVE LAW na PROCEDURAL LAW lakini naomba maelezo yake kwa kiswahili na mifano ikibidi
asante
Watanzania tumekuwa tunakabiliwa na matatizo mengi kimaisha, kimwili na kisheria lakini ya kisheria tunashindwa kujua kama ni sehemu ya kazi zenu hebu mtujuze kazi zenu.
*Kutana na Dola Indidis,* mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a...
Ieleweke nalaani vikali kitendo cha yule mwalimu kutumia nguvu ya ziada kumwadhibu mwanafunzi.
Ila naomba kujua je kwa sheria za Tanzania, ushahidi wa video unakubalika?!
Niki-refer hukumu ya...
Naomba msaada wenu katika jukwaa hili. Hali ya uchumi imekuwa ngumu mno, dhamana za magari,nyumba n.k zinapigw minada sehemu nyingi. Sasa basi, kuna dogo ametumia hati ya mauziano ya kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.