Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Salamu zenu waungwana,
Nawakaribisha kwenye bandiko hili ili tuweze kuulizana na kujibiana kuhusu Sheria za kazi hapa nchini Tanzania. Mimi pamoja na wasomi wenzangu wa sheria wenye nia kama...
Ni swala lisilo pingika kwamba kitendo cha Scorpion kumtoboa macho bwana Said kama anavyotuhumiwa limegusa hisia za Watanzania wengi sana. Naomba maoni ya wanasheria humu ndani juu ya hukumu...
Kutana na Dola Indidis, mwanasheria aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a...
Wakuu salam
Naomba ufafanuzi wa sheria hasa kuhusu Kesi ya madai ambayo inamhusisha mtumishi wa umma baada ya kushindwa Kesi na kuamuriwa kulipa gharama na mahakama. Je anaweza akahatarisha ama...
Wakuu eti wakili anaweza kukugeuka au kwa makusudi akasababisha ushindwe kesi kwa kushindwa kukutetea?
Nilipata kusikia wakili anavujisha siri na ushahidi wa mteja wake baada ya aliyekuwa...
Wakuu kwa mfano mfungwa ambaye anatumikia adhabu alafu akapata taarifa kuwa kiwanja chake alichokiacha mtaani kimechukuliwa na mtu, je anahaki ya kwenda kufungua kesi mahakamani?
Anapaswa kufuata...
''Nikiwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza ndipo baba yangu kipenzi aliweza kunitoka duniani,nakumbuka tulikuwa hospitali ya taifa ambapo baba yangu alikuwa amenikumbatia huku akiwa ananiambia...
Habari wana Jf.Niende moja kwa moja kwenye mada.Mimi ni dereva Bajaji na nimekamatwa kwa kosa la kutembea na copi ya leseni kwani orijino ipo na tajiri.Walipo hitaji orijino nikawasiliana na...
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria...
Wapendwa,
Katika harakati za kuisoma namba, rafiki yangu ameamriwa kuresign na mwajiri wake au lah atafanya kazi bila malipo. Rafiki huyo ana mkopo toka kampuni hiyo na mwajiri anadai asaini...
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria...
wakuu niliajiriwa na taasisi moja ya serikali kwa mkataba wa muda flani ,lakini nikiwa kati ya mkataba siku yangu ya kazi nikiwa kazini ikatokea tukio linalohusu kazi lililofanywa na mtu mwingine...
Natumaini ni wazima,
Nilikuwa nawaza tu kwenda kufunguwa kesi mahakamani juu ya mafao yangu niliyochangia, nakunbuka wakati najaza mkataba wa kujiunga na mfuko huu wa mafao sikuambiwa na wala...
Habari wadau,
Nina mdogo anatarjia kuingia law school of tanzania disemba 2016 hivyo angependa kujua ni vipi atapata makazi jirani na shule na ni bei gani pia angependa kufahamu zaidi maisha ya...
ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo...
Wakubwa tumekuwa tunasikia watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakikamatwa. Kuna yule mama alikamatwa kunduchi na wengineo wengi hebu tupeni mrejesho hivi kesi za madawa ya kulevya tanzania huwa zinaisha?
Heshimu kwenu wakuu nilikuwa nataka kujua taratibu zinazotumika kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo jee unaandika ombi la kummkataa au unafanya vipi kwa sababu ni miaka miwili sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.