S Seif al Islam JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 2,156 Reaction score 640 Nov 6, 2016 #1 Naomba kuelekezwa utaratibu wa kusajili Kampuni ya Ulinzi.
soskeneth JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 583 Reaction score 235 Nov 23, 2016 #2 Ni tafut maan kwa kuandika ni shidaa
soskeneth JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 583 Reaction score 235 Nov 23, 2016 #3 Hapo lazima ujue ni aina gan ya kampun unatak kufungua Private company Public company Unlimited company Company limted by shared Company limted by guarantee Statustory company Halafu ukisha faham n aina gan make sure unakuwa na memorandum of association na Article of association.. Yaan nikiwa na maan katiba ya ndan ya kampun na katiba ya nje ya kampun ukitaka msaada zaid plz ukihitaj contact zangu its ok
Hapo lazima ujue ni aina gan ya kampun unatak kufungua Private company Public company Unlimited company Company limted by shared Company limted by guarantee Statustory company Halafu ukisha faham n aina gan make sure unakuwa na memorandum of association na Article of association.. Yaan nikiwa na maan katiba ya ndan ya kampun na katiba ya nje ya kampun ukitaka msaada zaid plz ukihitaj contact zangu its ok