Je, Open University ni pazuri kusemea Sheria?

Kiyosaki i

Member
Aug 12, 2021
18
8
Nina ndugu yangu muhitimu wa diploma ya sheria, kwasasa ni muajiliwa anahitaji kujiendeleza na degree ya sheria,, lakini kupitia THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, (Chuo kikuu huria Tanzania),,,

naomba kupata ushauri Kama Ni suitable kwa sheria...... ikilinganishwa na anaesomea CAMPUS maana tunajua sheria inavitu vingi.
 
Kasomee MZUMBE AU UDSM wako vyema mi naona
 
Kasome tu, watu kibao wanasoma Open University of Tanzania na wanapojiunga Law School of Tanzania wanafaulu vizuri na wanakuwa mawakili.
Ukisikiliza mitazamo ya watu utapotea.
 
Mambo ya chuo fulani kudharauliwa ni ya kizamani sana, kuna mawakili wengi sana tena wazuri waliosoma OUT
 
Back
Top Bottom