Hukumu ya Chenge leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya Chenge leo?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Dec 29, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kuahirishwa hairishwa kwa hukumu ya aliyekuwa Waziri katika serikali ya JK Bw. Andrew Chenge ihusuyo ajali ya barabarani na kuendesha gari bila ya bima kwa miaka kadhaa ikiwemo kujaribu kughushi bima hiyo................hatuna uhakika hata kama leo hukumu hiyo itatolewa...........................

  mara ya mwisho hukumu hiyo ilipangwa kutolewa lakni ilishindikana baada ya mtuhumiwa ambaye yuko nje kwa dhamana kusemekana amekwenda kwenye mazishi na kutotoa habari mwenyewe na kuwaachia wanasheria wake kufanya kazi hiyo...............

  Huku tukielekea siku kuu ya mwaka mpya yawezekana kabisa ikaahirishwa ili kumruhusu Mheshimiwa huyu kuila sikukuu hiyo bila ya zengwe lolote..................

  leo jioni tutajua ukweli ulivyokuwa..........
   
 2. E

  Edo JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hukumu yake tayari ? japo nahisi haitazidi laki 5 !
   
Loading...