Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habarini, Naamini wote mu wazima, wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani? Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa. Au wakati kesi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA. Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja. Mtoto atakuwa...
4 Reactions
19 Replies
15K Views
Ally Yusuph Makamba,aliye kuwa anafanya kazi ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Alifukuzwa kwa kosa la ulevi saa za Kazi na taarifa zaidi zinasema amekuwa akilewa mara kwa mara kitendo kinacho...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya...
1 Reactions
7 Replies
489 Views
Habari wakuu. Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33. Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi...
0 Reactions
5 Replies
625 Views
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati...
0 Reactions
5 Replies
513 Views
Habari, Naomba msaada kisheria hili lipoje, mwaka 2020 mwezi wa tano, nilipata ajira katika kampuni moja jijini Dar, nimekuwa nao kwa muda wa miaka 4 mpaka mwaka 2024 mwezi wa 7. Ile naondoka...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia. Je, taratibu gani zitafata kisheria? Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo...
1 Reactions
6 Replies
503 Views
Naomba kuuliza wataalamu wa Sheria,maoni yanayo tolewa mahakamani kuelekea kutolewa hukumu yenyewe ndio yanatoa hukumu itakavyo kuwa?Asante
1 Reactions
5 Replies
610 Views
Natumaini hamjambo. Nina jambo ambalo linahitaji muongozo: Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba...
1 Reactions
7 Replies
536 Views
Juma hili tumepokea simu na hata picha za simu katika Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto zikiwa na taarifa za kufanyiwa ukatili wa kingono watoto wa kike. Picha za watoto hao sasa zimesambaa...
4 Reactions
12 Replies
719 Views
Hello, leo nakuletea summary ya kesi maarufu ya mauaji, ambayo iliwahi kuitikisa Tanzania enzi hizo (2006). Ni kesi ya ‘Abdallah Zombe na wenzake 12.’ Hii ni summary (muhtasari au dondoo) kwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari za mchana wana jamii naomba kutahamu utaratibu upoje kwa mtu anaehitaji kupata passport ya kusafiria vitu anavyotakiwa kuwa navyo pamoja na gharama ni kiasi gani na inachukua muda gani...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wabobezi katika sheria za muungano wa kampuni naomba msaada wa kisheria inayohusu JV. Nina kampuni yangu haina mtaji wala vifaa ila ila ina watu wenye uwezo wa kutafta fursa za kazi (tenders)...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Usiposomewa Maoni ya Wazee wa Baraza kwenye kesi za ardhi, hiyo kesi nzima ni batili Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241 Kwa wale ambao mna kesi za ardhi katika mabaraza/mahakama za wilaya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakimu ajitoa kesi ya Mahalu Imeandikwa na Regina Kumba; Tarehe: 28th March 2011 @ 22:55 Imesomwa na watu: 47; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom