Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Tangia kampuni ya sigara tanzania imepata mkuruzenzi mpya wa masoko na mauzo mtanzania baada ya kuondoka Mkenya kulizuka wimbi la kufukuza wafanyakazi,mkurugenzi huyu mtanzania alianza na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salama ndugu, Kuna mwalimu ana project ya kufuga kuku wa biashara kwenye nyumba ya shule, Usiku wa jana tukiwa kwenye mechi, Paka watatu wa mwalim aliye nyumba jirani kala vifaranga/kuku wenye...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Hi wana JF, Nina suala ninataka lisimamiwe na Mwanasheria katika Mahakama ya wilaya ya Kilombero iliyoko pale Ifakara. Kama kuna Advocate yeyote anayefanya/practicing kazi katika ama wilaya hiyo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kesi ya hila ,Je ushahidi ambao kimsingi mteja hakupewa nafasi ajitetee inaweza kutumika kufungua kesi ya madai? Karibuni waheshimiwa!
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Umofia kwenu, Kuna rafiki yangu yeye anafanya biashara ya kukopesha fedha kwa watumishi wa umma kwa marejesho ya muda mfupi isiyozidi miezi 4 akitumia mikataba fulani anayodhani ina security...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili. Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa hizo fedha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili . Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa izo fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wapendwa Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nilikuwa mpenzi wanguu ambaye tumebahatika kupata mtoto mmoja,mwenye umri Wa miaka miwili na miezi mitano sasa,lkn hivii karibuni niliaachana na mama wa mtoto huyuu lkn mtoto yupo naee ilaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi. Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear JF As we all are aware that the Government of United Republic of Tanzania through The Ministry of Information, Culture, Arts and Sports in March 2018 signed a regulation know as THE...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Please, naomba mnijuze ili mkoa uitwe jiji, lazima uwe na sifa zipi aswa??
0 Reactions
11 Replies
5K Views
But my blog is about school subjects and I'm giving them away to the students. Should I register and pay as well?
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nina lengo la kusoma sheria ila katika mchakato wangu ninatafuta chuo nje ya nchi na malengo yakiwa ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Rais wa Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Fatuma Karume amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa idadi ndogo ya mawakili nchini, kwa wastani wakili mmoja hivi sasa anapaswa kuhudumia zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaomba kujua sheria zinazozungumzia vyombo vya moto pamoja na masuala ya barabara Tanzania ukiachana na Road Traffic Act CAP 168 pamoja na The motor vehicles Act CAP 124. Naomba kufahamu kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe. Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga...
6 Reactions
207 Replies
28K Views
Ms. Cecilia, a midwife went to the bank to withdraw money. At the bank, a security officer decided to assist her, collects her cheque, bypass queue and hands over to the Teller Mrs. Aba Dadzie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wote wa JF. Kuna mtoto alifiwa na mama yake mzazi mwezi wa kwanza mwaka huu, sasa baada ya msiba kuisha mtoto huyo hadi leo hajawahi kushirikiswa kuhusu ugawaji wa mali ya mama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom